Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mada inahitaji majibuOya ile pisi yenye chura ya sinza vipi?
Mada inahitaji majibu
Umuhimu wa kuwa na Imani ya Dini ni kuwa inakupa Tumaini na Faraja ya Moyo
Pia inaneutralize hali ya amani duniani. Imagine tungekuwa na Akili halafu hakuna wenye Imani ya Dini...
Inawezekana ikawa ni sababu, kwa sababu kuna makundi mbali mbali; sasa ni kwa nini sisi tuwe kwao kama kitega uchumi huku wao hawatusaidii chochote?Dini ililetwa kwa dhumuni kuu la kutugawa
Ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la kuliaUmuhimu wake ni mwamposa akitaka kukutapeli asitumie nguvu
Wakina nani?Nakubaliana na hoja yako, kama lengo ni kumshepu binadamu ili aweze kuishi kwa misingi ya kibinadamu, lengo kuu huwa ni kumfurahisha nani? Na kwa nini wewe uwe ni sehemu kwao ya mapato, huku wewe ukikutana na changamoto za maradhi, kuyumba kiuchumia n.k wao hawakusaidii; hii kwako unaichukuliaje?
Wenye diniWakina nani?
Kuna uwezekano miaka ya mbeleni, majengo yakawa hayana wahudhuriajiReligion is a fictional identity.
Religion is set of dogmatic rules manipulating weak minds...
Dini zimeundwa na wanadamu ili kutawala wenzao wasiojitambua akili, dini ufanya watu kuwa wajinga kwa kuaminishwa imaginary enemies na heroes ambao do not exist na waumini wehu wanaamini tu bila hata kujuwa ukweli.Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k
Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa maandishi kwenye vitabu husika, kusaini mkataba wa ndoa n.k
Ila ukiugua au ukipata changamoto ya kiuchumi, hawakusaidii ata senti tano.
Sasa umuhimu wa kuwa na dini ni nini?
Faida yake kulelewa watoto wako na ni kipimo cha dhambi kitakuza kizaz chako kisiwe cha maasip0Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k
Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa maandishi kwenye vitabu husika, kusaini mkataba wa ndoa n.k
Ila ukiugua au ukipata changamoto ya kiuchumi, hawakusaidii ata senti tano.
Sasa umuhimu wa kuwa na dini ni nini?
Ustaharsbu ni nini?Umuhimu wa kuwa na Imani ya Dini ni kuwa inakupa Tumaini na Faraja ya Moyo
Pia inaneutralize hali ya amani duniani. Imagine tungekuwa na Akili halafu hakuna wenye Imani ya Dini....
Kingine, Dini pia imeambatana na Ustaarabu pamoja na Maadili
Hayo ni kwa machache
Sijakataa wala kupinga madhara ya Dini katika jamiiUstaharsbu ni nini?
Mstaharabu ni nani?
Dini zimesababisha vita na mauaji duniani kuliko hao wasioamini?
Kivipi ilete amani?