Umuhimu wa kuwa na dini ni upi?

Umuhimu wa kuwa na dini ni upi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k

Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa maandishi kwenye vitabu husika, kusaini mkataba wa ndoa n.k

Ila ukiugua au ukipata changamoto ya kiuchumi, hawakusaidii ata senti tano.

Sasa umuhimu wa kuwa na dini ni nini?​
 
Screenshot_20240704-103232~2.jpg
 
Umuhimu wa kuwa na Imani ya Dini ni kuwa inakupa Tumaini na Faraja ya Moyo

Pia inaneutralize hali ya amani duniani. Imagine tungekuwa na Akili halafu hakuna wenye Imani ya Dini....

Kingine, Dini pia imeambatana na Ustaarabu pamoja na Maadili

Hayo ni kwa machache
 
Umuhimu wa kuwa na Imani ya Dini ni kuwa inakupa Tumaini na Faraja ya Moyo

Pia inaneutralize hali ya amani duniani. Imagine tungekuwa na Akili halafu hakuna wenye Imani ya Dini...
Nakubaliana na hoja yako, kama lengo ni kumshepu binadamu ili aweze kuishi kwa misingi ya kibinadamu, lengo kuu huwa ni kumfurahisha nani?

Na kwa nini wewe uwe ni sehemu kwao ya mapato, huku wewe ukikutana na changamoto za maradhi, kuyumba kiuchumia n.k wao hawakusaidii; hii kwako unaichukuliaje?​
 
Nakubaliana na hoja yako, kama lengo ni kumshepu binadamu ili aweze kuishi kwa misingi ya kibinadamu, lengo kuu huwa ni kumfurahisha nani? Na kwa nini wewe uwe ni sehemu kwao ya mapato, huku wewe ukikutana na changamoto za maradhi, kuyumba kiuchumia n.k wao hawakusaidii; hii kwako unaichukuliaje?​
Wakina nani?
 
Religion is a fictional identity.

Religion is set of dogmatic rules manipulating weak minds.

Religion is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.

Religion is the programming system for collecting money from people.

Religion started when the first conman met the first fool.
 
Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k

Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa maandishi kwenye vitabu husika, kusaini mkataba wa ndoa n.k

Ila ukiugua au ukipata changamoto ya kiuchumi, hawakusaidii ata senti tano.

Sasa umuhimu wa kuwa na dini ni nini?​
Dini zimeundwa na wanadamu ili kutawala wenzao wasiojitambua akili, dini ufanya watu kuwa wajinga kwa kuaminishwa imaginary enemies na heroes ambao do not exist na waumini wehu wanaamini tu bila hata kujuwa ukweli.
 
p0Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k

Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa maandishi kwenye vitabu husika, kusaini mkataba wa ndoa n.k

Ila ukiugua au ukipata changamoto ya kiuchumi, hawakusaidii ata senti tano.

Sasa umuhimu wa kuwa na dini ni nini?​
Faida yake kulelewa watoto wako na ni kipimo cha dhambi kitakuza kizaz chako kisiwe cha maasi
 
Umuhimu wa kuwa na Imani ya Dini ni kuwa inakupa Tumaini na Faraja ya Moyo

Pia inaneutralize hali ya amani duniani. Imagine tungekuwa na Akili halafu hakuna wenye Imani ya Dini....

Kingine, Dini pia imeambatana na Ustaarabu pamoja na Maadili

Hayo ni kwa machache
Ustaharsbu ni nini?
Mstaharabu ni nani?
Dini zimesababisha vita na mauaji duniani kuliko hao wasioamini?
Kivipi ilete amani?
 
Ustaharsbu ni nini?
Mstaharabu ni nani?
Dini zimesababisha vita na mauaji duniani kuliko hao wasioamini?
Kivipi ilete amani?
Sijakataa wala kupinga madhara ya Dini katika jamii

Dini haikuleta hayo isipokuwa njia iliyotumika kusambaza Dini mbili hizi kubwa za Uislam na Ukristo ndiyo iliyohusisha Mauaji hasa ya kutumia Upanga, yaani usambazaji wa Dini kwa njia ya Upanga na umwagaji Damu

Kwa Dini zingine haya hayakuwahi kutokea kwa mfano Budhism, Hinduism na zingine zenye waumin mamilioni

Suala la Ustaarabu....NDIO, Dini ilikuja na Ustaarabu Afrika na kwa baadhi ya sehemu zilizokuwa na ustaarabu wa kale Dini ilibadilisha pia, kwa Mfano Mali, Ethiopia, Ghana na Zimbabwe. Mathalani Dini ya Ukristo ulikuja na Elimu ya kikoloni...ilimtaka mwanafunzi avae kaputula na shati jeupe, ilimfanya ajue kuoga kila mara, achane nywele na akimaliza kusoma aajiriwe na kuvaa suti na Tai

Hii ilienda mbali mpaka katika lifestyle ya Mwafrika kwa ujumla mpaka leo hii

Dini ya Uislam hali kadhalika na hii imegusa maeneo mengi zaidi
 
Back
Top Bottom