Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k
Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa maandishi kwenye vitabu husika, kusaini mkataba wa ndoa n.k
Ila ukiugua au ukipata changamoto ya kiuchumi, hawakusaidii ata senti tano.
Sasa umuhimu wa kuwa na dini ni nini?