Anazungusha lugha kwa manufaa ya nani? Ni uoga kwa sababu ni Verified user? Abaki kimya asi comment asome tu. Ni kama ana ndimi mbili ukimsoma vizuri. Hapendezi.Hizi sarcastic languages ni wachache sana wanaweza kukuelewa now that munkari upo juu
Offcourse uchaguzi haukuwa huru wala wa haki. Wewe andika kitu direct tu.
Hapo kwenye “nobody can do anything now” upo sahihi
Sio offer Amiii,ni katiba inamtaka Sefu awe Makamu wa kwanza wa RaisKama hivyo ndivyo basi nashauri Maalim Seif aufikirie upya msimamo wa kushiriki offer ( ya kinafiki) ya Dr Hussein Mwinyi kwa sababu zifuatazo.
Wewe ndio mwandishi wa habari dah Tanzania tuna kazi ya ziada ila ipo siku Mungu atatoa hukumu kubwa zaidi kama hujajifunza endelea kuziba ufahamu wako kwasababu ya maslahiUchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P
Uchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P
Tafakari na madhara ya kukaa nje mini kitatokea. Kuna hatari ya hata vyama kufutwa, wafuasi kuzidi kukandamizwa, kutengwa kwenye ajira, ubaguzi kuzidi na mengineyo.Hahaha sasa akiingia huko serikali ya mseto itasaidia nini?!
Kukubali kuingia kwenye mseto ni kukubaliana na wizi na kuwadanganya wananchi, ni ujinga na urafi wa vyeo vya kijinga.
Hahaha amewahi kuwa humo na haiumsaidia chochote, labda zaidi yeye alipata mahahara na gari na dereva, pia ulinzi.Tafakari na madhara ya kukaa nje mini kitatokea. Kuna hatari ya hata vyama kufutwa, wafuasi kuzidi kukandamizwa, kutengwa kwenye ajira, ubaguzi kuzidi na mengineyo.
Acha ashiriki atapata kuuarifu umma kilicho ndani na umma utakuwa nae
Tatizo wenye "haki" ya kuwa wabunge na Marais wamekosa hiyo "Haki" Sasa "lazima uchaguzi urudiwe".Uchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P
Kama utaitazama jamii kwa upana wake utauona umuhimu. Tatizo Zanzibar INA hali tofauti. Kule kuna ukoloni. Network ya ndani na nje ni muhimu.Hahaha amewahi kuwa humo na haiumsaidia chochote, labda zaidi yeye alipata mahahara na gari na dereva, pia ulinzi.
Wazanzibari hawakupata nafuu yoyote.
Kujiunga na wezi na wahujumu wa haki ni kuhalalisha wizi na hujuma kwa Wazanzibari.
Hana cha kuoteza na hana cha ku gain, akae alipo atulizane.
Kwanza ni usaliti kwa umma waliompigia kura. Kujiunga na mseto ni kufata maslahi binafsi sio ya umma wa Wazanzibari.
Hamad Rashid aliye hasi CUF nakuanzishiwa ADA na kujiunga nao leo yuko wapi?!
Shetani anakuona mzuri ukikubali kutumika tu, ukikataa kutumika kutekeleza uovu wake hata wewe anakuteketeza.
Hakuna faida kujiunga nao, kama wewe unataka nenda kajiunge nao kisha utuletee mrejesho hapa.
Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?Uchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P
Waache wafute hivyo vyama, kwani vikiwepo vinatulipa mshahara?!Tafakari na madhara ya kukaa nje mini kitatokea. Kuna hatari ya hata vyama kufutwa, wafuasi kuzidi kukandamizwa, kutengwa kwenye ajira, ubaguzi kuzidi na mengineyo.
Acha ashiriki atapata kuuarifu umma kilicho ndani na umma utakuwa nae
Maneno yako maxima,Mwinyi hakubaliki wala hakushinda,wala hatopendwa,ccm wenziwe na wapinzani,na yeye analijua vizuri hilo, kutaka maongezi na Maalim ni kutaka kumtumilia ajisafishe na watu wamkubali,kishiriki kwenye serikali haramu halina umuhimu kwa waznzbar wala kwa maalim,zaidi ya kutaka kumtumilia.Waache wafute hivyo vyama, kwani vikiwepo vinatulipa mshahara?!
Sisi tunataka haki sio kupewa hongo mtu mmoja ili kutunyamazisha mamilioni.
Kwanini wao ccm wasiache ACT iongoze kwama ni rahisi hivyo kwako?!
Kila siku nyie ndio gunia la deki,upuuzi mkubwa huu, waache watawale peke yao, na tuone hayo maendeleo wanayoleta Zanzibar.
Wao hawataki kusikia mwenzao anashinda wewe unataka aingie kuwasafishia uovu wao.
Tusikose utu tukafikia kudhalilisha maiti for political mileage!. Picha hizo are not for public consumption, ni picha za kutumika as evidence of atrocities na zinatakiwa kuwasilishwa kwenye vyombo husika, ikiwemo Tume ya Haki za Binaadam na Utawala Bora, na vyombo vya sheria na sio kuwaanika marehemu wetu huku kwenye kadamnasi ya watu, zitaacha stigmatise wapendwa wao na kuwasababishia tatizo la stigmata kwenye mioyo yao for life, kila wakiwakumbuka.Bila aibu kabisa na elimu yako yote hiyo Tena ya sheria
AibuUchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P
Kwa kuongezea tu, jitihada zozote zisizo za kikatiba za kumuundermine au kumtoa madarakani Rais aliyeapishwa ni uhaini.Uchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P