Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

Uzuri hata huyo atakayewang'Anya haishi milele, na mbaya zaidi anaweza asimalize hata miaka miwili ijayo! Kwa afya ile niliyoiona mhhhh!
 
Pitia tena makala nukta kwa nukta uelewe mantiki kwanza.

Maalim Seif ana Umma, CCM INA dola.

Madhara yanayokuja sasa ni makubwa.

Upinzani unahitajika ndani na nje japo kama huko ndani nako utakuwa umebanwa.
Ya 2015 yasirudiwe hats kama halo in mbaya vipi.

Kuna kila dalili vyama makini kufutwa
Ngoma imeshaisha hiyo mkuu
 
Kwa maalim Seif this was his last and his best shot. Wamemkatili this time kwa wizi wa mchana I think its high time apumzike aangalie afya yake. He has done his part. Aendelee na uenyekiti wa ACT na mwenge wa urais uchukuliwe na vijana kwenye chama chake.

Historia itamkumbuka kwa kutumia nguvu zake na ujana wake kwa kutetea maslahi ya wazanzibari ndani ya muungano bila kuchoka.
 
Hizo picha CCM wanapenda tuzione ili tuogope. Tena huwa wanasema waambieni watoto wenu wasithubutu...
 
Back
Top Bottom