Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchanguzi umekwisha, ulikuwa huru na wa haki, mshindi amepatikana ki haki na ki halali na ameapishwa, there is no one can do anything now ni kusubiria uchaguzi mwingine ni 2025!.
P
Ngoma imeshaisha hiyo mkuuPitia tena makala nukta kwa nukta uelewe mantiki kwanza.
Maalim Seif ana Umma, CCM INA dola.
Madhara yanayokuja sasa ni makubwa.
Upinzani unahitajika ndani na nje japo kama huko ndani nako utakuwa umebanwa.
Ya 2015 yasirudiwe hats kama halo in mbaya vipi.
Kuna kila dalili vyama makini kufutwa