Hahaha amewahi kuwa humo na haiumsaidia chochote, labda zaidi yeye alipata mahahara na gari na dereva, pia ulinzi.
Wazanzibari hawakupata nafuu yoyote.
Kujiunga na wezi na wahujumu wa haki ni kuhalalisha wizi na hujuma kwa Wazanzibari.
Hana cha kuoteza na hana cha ku gain, akae alipo atulizane.
Kwanza ni usaliti kwa umma waliompigia kura. Kujiunga na mseto ni kufata maslahi binafsi sio ya umma wa Wazanzibari.
Hamad Rashid aliye hasi CUF nakuanzishiwa ADA na kujiunga nao leo yuko wapi?!
Shetani anakuona mzuri ukikubali kutumika tu, ukikataa kutumika kutekeleza uovu wake hata wewe anakuteketeza.
Hakuna faida kujiunga nao, kama wewe unataka nenda kajiunge nao kisha utuletee mrejesho hapa.