Umuhimu wa Mfumo Dume (Ubaba)

Umuhimu wa Mfumo Dume (Ubaba)

Na wewe jitahidi kutolazimisha watu waamini unachoamini, ni zaidi ya ushauri.

naona umepuuza ushauri wa kusoma kwa tuo kabla ya kuhukumu, ungeuzingatia ungegundua hili sio suala la kuamini au kulazimishana
 
Inashangaza sana kuona watu ambao hutumia pesa katika kila nyanja ya mapenzi/mahusiano yao wanabisha kuwa sio kiungo kikuu cha mapenzi/mahusiano hayo. Nguo wanazovaa zimenunuliwa kwa pesa. Mahali wanapolala panalipiwa kwa pesa. Sehemu wanazokwenda zinalipiwa kwa pesa. Huduma wanazopata zinalipiwa kwa pesa. Na hata vitendea kazi ya kufanya mapenzi hulipiwa kwa pesa. Kila kitu wanachofanya kinalipiwa kwa pesa. Na kila kukicha wanamangamanga huku na kule kuitafuta pesa. Halafu bado wanakana pesa sio msingi mkuu wa mapenzi/mahusiano. Eti pesa sio injini ya mapenzi/mahusiano. Tangu lini gari likaendesheka njiani bila injini? Kwa kusukumwa?
 
Wewe bana! Kama ni hivyo ni bora hata useme pesa ndiyo msingi mkuu wa maisha ingawa na hilo nalo sikubaliani nalo.
 
Katika masaa 24 kila siku unatumia muda kiasi gani kutafuta pesa? Na unazitafuta kwa ajili ya nini? Kwa nini huachi kuzitafuta?
 
Siku zote nilifikiri wewe ni wale wa msimamo mkali...

Gaijin toka lini umeanza kuona maisha katika mwanga bora? unakumbuka post yako kwenye thread ya kuchagua jf woman/man of the year?
hata mimi nilidhani huyu ndio the ultimate feminist wa Kitanzania, she riled against women's gift seats in Parliament, and always repudiated the purile "Tukiwezeshwa Tunaweza" mentality, akidai wao wana uwezo sawa na wanaume, sasa kama una uwezo na mwanamme kwa nini sasa unataka mimi ndio nikulishe na kukusitiri? Kumbe bora hata wale wa "Tukiwezeshwa Tunaweza," wewe hata kuweza hutaki. Your credibility as a valiant voice for women strength is severely dented, no one framed those gender issues more cogently.
 
Katika masaa 24 kila siku unatumia muda kiasi gani kutafuta pesa? Na unazitafuta kwa ajili ya nini? Kwa nini huachi kuzitafuta?
Companero hizo pesa tunazotafuta muda mwingi zinatumika wapi? Kujenga mapenzi/mahusiano zaidi?
 
hata mimi nilidhani huyu ndio the ultimate feminist wa Kitanzania, she riled against women's gift seats in Parliament, and always repudiated the purile "Tukiwezeshwa Tunaweza" mentality, akidai wao wana uwezo sawa na wanaume, sasa kama una uwezo na mwanamme kwa nini sasa unataka mimi ndio nikulishe na kukusitiri? Kumbe bora hata wale wa "Tukiwezeshwa Tunaweza," wewe hata kuweza hutaki. Your credibility as a valiant voice for women strength is severely dented, no one framed those gender issues more cogently.

Uwezo ninao lakini nakuachia fursa ya kunilisha na kunistiri ili kuboost ego yako tu ili ndani ya nyumba papatikane amani, manake wanaume wengi wa Kibongo bado hamuwezi kuhimili kuona mwanamke ana kipato kikubwa kuliko nyinyi.

Hata huyo ultimate feminist anahitaji mapenzi na amani kwenye nyumba yake. Na ikiwa itapatikana kwa kumuachia mume amlishe, so be it
 
ubaba/unanamme katika familia una nafasi yake
pesa ina nafasi yake
na mapenzi yana nafasi yake.

Vyote vinachangia mahusiano kuwa mazuri zaidi.
 
he he he he, umesahau nondo
ni muhimu zaidi ya pesa.

Umenichekesha sana leo.

Hapa naona kila mtu abaki na msingi wake wa mapenzi /mahusiano kama ni mawe, simenti, udongo haya...
 
he he he he, umesahau nondo
ni muhimu zaidi ya pesa.

Umenichekesha sana leo.
Wee ongeza tu vyenye unaona ndo vinafaa msingi wako...

Wapi tena nimekuchekesha aisee? Hapa kwenye msing?
 
nakubali pesa ndiyo kila kitu ila mbona hata wenye pesa ndoa zao ziko matatani?
 
Haya nimekusoma bana...

Hapa naona kila mtu abaki na msingi wake wa mapenzi /mahusiano kama ni mawe, simenti, udongo haya...

relavitism ni comfort zone ya wanaogopa kukabiliana na universalism
 
Back
Top Bottom