Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana kuona watu ambao hutumia pesa katika kila nyanja ya mapenzi/mahusiano yao wanabisha kuwa sio kiungo kikuu cha mapenzi/mahusiano hayo. Nguo wanazovaa zimenunuliwa kwa pesa. Mahali wanapolala panalipiwa kwa pesa. Sehemu wanazokwenda zinalipiwa kwa pesa. Huduma wanazopata zinalipiwa kwa pesa. Na hata vitendea kazi ya kufanya mapenzi hulipiwa kwa pesa. Kila kitu wanachofanya kinalipiwa kwa pesa. Na kila kukicha wanamangamanga huku na kule kuitafuta pesa. Halafu bado wanakana pesa sio msingi mkuu wa mapenzi/mahusiano. Eti pesa sio injini ya mapenzi/mahusiano. Tangu lini gari likaendesheka njiani bila injini? Kwa kusukumwa?
Wewe bana! Kama ni hivyo ni bora hata useme pesa ndiyo msingi mkuu wa maisha ingawa na hilo nalo sikubaliani nalo.
Katika masaa 24 kila siku unatumia muda kiasi gani kutafuta pesa? Na unazitafuta kwa ajili ya nini? Kwa nini huachi kuzitafuta?
Siku zote nilifikiri wewe ni wale wa msimamo mkali...
hata mimi nilidhani huyu ndio the ultimate feminist wa Kitanzania, she riled against women's gift seats in Parliament, and always repudiated the purile "Tukiwezeshwa Tunaweza" mentality, akidai wao wana uwezo sawa na wanaume, sasa kama una uwezo na mwanamme kwa nini sasa unataka mimi ndio nikulishe na kukusitiri? Kumbe bora hata wale wa "Tukiwezeshwa Tunaweza," wewe hata kuweza hutaki. Your credibility as a valiant voice for women strength is severely dented, no one framed those gender issues more cogently.Gaijin toka lini umeanza kuona maisha katika mwanga bora? unakumbuka post yako kwenye thread ya kuchagua jf woman/man of the year?
Companero hizo pesa tunazotafuta muda mwingi zinatumika wapi? Kujenga mapenzi/mahusiano zaidi?Katika masaa 24 kila siku unatumia muda kiasi gani kutafuta pesa? Na unazitafuta kwa ajili ya nini? Kwa nini huachi kuzitafuta?
Ni matokeo?
hata mimi nilidhani huyu ndio the ultimate feminist wa Kitanzania, she riled against women's gift seats in Parliament, and always repudiated the purile "Tukiwezeshwa Tunaweza" mentality, akidai wao wana uwezo sawa na wanaume, sasa kama una uwezo na mwanamme kwa nini sasa unataka mimi ndio nikulishe na kukusitiri? Kumbe bora hata wale wa "Tukiwezeshwa Tunaweza," wewe hata kuweza hutaki. Your credibility as a valiant voice for women strength is severely dented, no one framed those gender issues more cogently.
Haya nimekusoma bana...Kuendesha mapenzi/mahusiano
Hapa naona kila mtu abaki na msingi wake wa mapenzi /mahusiano kama ni mawe, simenti, udongo haya...
Wee ongeza tu vyenye unaona ndo vinafaa msingi wako...he he he he, umesahau nondo
ni muhimu zaidi ya pesa.
Umenichekesha sana leo.