neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!!
Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi yaliyojificha nyuma ya jambo hili.
Baada ya wapinzani hao kuish kama njiwa ktk awamu fulani, wana deserve kupumzika. Inachosha sana kumpigania mwananchi ambae haelewi anataka nini
Dikteta alifanya jambo la kijinga sn, CCM ipo ajili ya kupongeza pekeeHayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!!
Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi yaliyojificha nyuma ya jambo hili.
Kosa kubwa kuwa na bunge la chama kimoja.Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!!
Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi yaliyojificha nyuma ya jambo hili.
Lilikuwa jizi lileMwendazake alikuwa tapeli mkubwa wa siasa kuwahi kutokea Tanzania
Mtu anawawekea viongozi kinga ya kutoshtakiwa, anaua vyombo vya habari, anaua vyama vya upinzani halafu kuna watu anawaambia eti ni mzalendo na wanakubali