neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!!
Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi yaliyojificha nyuma ya jambo hili.
Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi yaliyojificha nyuma ya jambo hili.