J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jun 10, 2021 #1 Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa maamuzi hayo. Upvote 0
Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa maamuzi hayo.