JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi.
Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa.
Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa maamuzi hayo.
Upvote
0