Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye.

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo.

Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha.

==============================

This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.

Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.

The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.

fukia.jpg
 
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha

article-1235763-0796CC53000005DC-209_634x617.jpg
huku hakuna kula tunda kimasihara,,,,,,,,,,,,,ila kama alitaka aanze kuwatafuna wale wa peponi mapema je............
 
Hii ni sheria ya Torah yaani Torati ya Wayahudi hata waIsrael ukiloweka ovyo unagongwa stone hadi kufa lakini kwa sababu kuna sheria za nchi hakuna ushenzi kama huu Israel.

Kingine sina hakika kama uislam unataka hivi.

Lakini nakushangaa ndugu yangu wewe muislam wa vikindu-kisemvule unashabikia mauaji haya wakati unaishi kwenye nchi inayofuata misingi ya Jamuhuri na sio Sharia
 
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================

This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.

Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.

The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.

article-1235763-0796CC53000005DC-209_634x617.jpg
Ritz Alwaz Malaria 2 FaizaFoxy mnaona hii
 
Hii ni sheria ya Torah yaani Torati ya Wayahudi hata waIsrael ukiloweka ovyo unagongwa stone hadi kufa lakini kwa sababu kuna sheria za nchi hakina ushenzi kama huu Israel.

Kingine sina hakika kama uislam unataka hivi.

Lakini nakushangaa ndugu yangu wewe muislam wa vikindu-kisemvule unashabikia mauaji haya wakati unaishi kwenye nchi inayofuata misingi ya Jamuhuri na sio Sharia
Uislam ndio unasema hivyo.
Ujaona saudia watu unyongwa kwa kufungwa kwenye bomba kisha crane inainuliwa juu live mbele ya watu.
Saudia unakatwa jambia live mbele ya watu lengo wemgine watishike.
Ndio uislam unataka hivyo
 
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================

This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.

Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.

The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.

article-1235763-0796CC53000005DC-209_634x617.jpg
Kuna mstari mwembamba sana ambao unatenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
 
Qr. 6 Surat Al An-Am 128 (Sura ya wanyama)
Na (wakumbushe) siku atakapowakusanya wote (awaambie) "Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu" na marafiki wao katika wanadamu (watawagombania) waseme "mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia muda wetu uliotuwekea" Basi (Mungu) atasema:"moto ndio makazi yenu, mtakaa humo milele.. katika aya hizi tunaona kuwa majini pamoja na watu wote watatupwa motoni.

Je Allah naye ni vipi? Tunaposoma kitabu cha hadith za mtume (s.a.w) cha Sahih al-Bukhari Vol: VI Hadithi No: 371.ukurasa wa 353 Kuna maneno haya:

Quran 50 au Surat Qaf 30 (kuapa) Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!

Imesimuliwa na Anas kuwa: mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha

Hadithi hii ya Anas inasomeka hivi:
Na Allah atasema Je, kuna wa ziada (kuja)? Nayo Jehanam itamuuliza Mwenyezi mola, wakisema je, kuna waziada (kuja)? hadi Mwenyezi Mungu atakapouweka mguu wake ndani ya moto wa jehanam na kisha moto utasema, YATOSHA!
 
Back
Top Bottom