Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Uislam ndio unasema hivyo.
Ujaona saudia watu unyongwa kwa kufungwa kwenye bomba kisha crane inainuliwa juu live mbele ya watu.
Saudia unakatwa jambia live mbele ya watu lengo wemgine watishike.
Ndio uislam unataka hivyo
Ni sahihi Saudia si inaongozwa sharia ya uislam sio jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa mbongo kushabikia mauaji jambo ambalo halikubaliki na sheria zetu za nchi
 
Hata hivyo, kuna mahali waafrica hatutumii hata ile akili tu ya kuzaliwa, kwa akili ya kawaida, huwezi kuwa na roho ya kikatili namna hiyo,

Hayupo mungu anayeamrisha watu kuadhibu watu wengine halafu yeye huyo mungu aendelee kuwa mungu

Kwa sababu ninaushahidi wa wazi kabisa, hata hao wanaompiga mawe mwenzao, ni kwa sababu tu wao hajakamatwa, ila matendo ya huyo wanayemhukumu, na wao wanafanya vizuri tu

Hata hyu Bwana Utam @malalia na FaizaFoxy wanafanya vilevile na wana madhambi yao
 
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================

This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.

Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.

The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.

article-1235763-0796CC53000005DC-209_634x617.jpg
Dah, hii ni dini ya shetani
 
Hatari sana... Yesu Kristo alileta amani. Walipompelekea mwanamke aliyezini akawaandikia, "mtu asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu" wote wakasepa. Huu ujasiri hawa ndg wanaupata wapi?.
Kilasiku najiuliza MUNGU alikuwa wapi Hadi akamruhusu shetani kuanzisha hii Imani????
Hii dini mzigo wa dunia
 
Roho mbaya sana hata Mohammed uko kuzimu anashangaa maana hajawatuma haya, wakitoka apo wanaenda kuoa vitoto vidogo kwa minajili ya kutimiza suna ya wake wanne, Sasa wana tofauti gani na huyu waliyempiga mawe?
 
Hata hivyo, kuna mahali waafrica hatutumii hata ile akili tu ya kuzaliwa, kwa akili ya kawaida, huwezi kuwa na roho ya kikatili namna hiyo,

Hayupo mungu anayeamrisha watu kuadhibu watu wengine halafu yeye huyo mungu aendelee kuwa mungu

Kwa sababu ninaushahidi wa wazi kabisa, hata hao wanaompiga mawe mwenzao, ni kwa sababu tu wao hajakamatwa, ila matendo ya huyo wanayemhukumu, na wao wanafanya vizuri tu

Hata hyu Bwana Utam @malalia na FaizaFoxy wanafanya vilevile na wana madhambi yao
Unamuhukumuje mtu ikiwa hujamkuta nakosa
Ingawaje nilikua nataka video ya hio tukio nilione
Maana inaonesha kabisa propaganda kama nyengine zilizotangulia
 
Tuacheni ujinga na unafiki wazee
Kingekuwa kichapo cha mwizi kila mtu angepongeza hapo
Hata ukija kweny swala la wizi, Sharia za kiislamu zinasema akatwe mikono na miguu, bado ni ukatili tuu kwasababu hakuna mtu ambaye hajawahi kuiba, sio mimi sio wewe(kila mtu katika maisha yake alishawahi kuchukua kitu ambacho sio cha kwake) kwaio na wewe tukukate viganja??
 
Inasikitisha sana!!!

Ndiyo hivyo watu wameshaamini kumbe tutafanyaje?labda tusubiri Mungu wao siku ashuke awaelekeze namna bora zaidi ya kumuabudu ktk kweli otherwise hatuna cha kufanya.
 
Hadithi hii ya Anas inasomeka hivi:
Na Allah atasema Je, kuna wa ziada (kuja)? Nayo Jehanam itamuuliza Mwenyezi mola, wakisema je, kuna waziada (kuja)? hadi Mwenyezi Mungu atakapouweka mguu wake ndani ya moto wa jehanam na kisha moto utasema, YATOSHA!
Ni kusema mwenyezi’mngu ataingia motoni?,kufanya nini ikiwa anao uwezo wa kujua yote?

Ni kusema zipo scenes hawezi kuzing’amua mpaka mwenyewe akatie jicho kuthibitisha?na kama ameshindwa hata kwa hisia kujua jehanam imejaa atakuwa kweli na uwezo wa kutoka ikiwa moto umesema YATOSHA na mlango kujifunga?

Bado naendelea kujifunza
 
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================

This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.

Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.

The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.

article-1235763-0796CC53000005DC-209_634x617.jpg
Huu sio unyama ni sheria , kama ambavyo unaona wasaliti wa nchi wanavyo uliwa , Mungu hajawai kuwa na huruma muda wote ndio maana anaweza kuua mama na baba akaacha katoto hakana wazazi kanatia huruma, ndivyo hivyo hivyo katika sheria zake
 
Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo
Unamuogopa kiranga eeh..!
 
Ni kusema mwenyezi’mngu ataingia motoni?,kufanya nini ikiwa anao uwezo wa kujua yote?

Ni kusema zipo scenes hawezi kuzing’amua mpaka mwenyewe akatie jicho kuthibitisha?na kama ameshindwa hata kwa hisia kujua jehanam imejaa atakuwa kweli na uwezo wa kutoka ikiwa moto umesema YATOSHA na mlango kujifunga?

Bado naendelea kujifunza
Mungu anajua yote ila ana utaratibu wake ambao anatuonyesha wanadamu , Mungu hana mguu wala mkono hizo ni lugha za picha kuonyesha kuwa jambo fulani limekamilika au limefanyika
 
Back
Top Bottom