Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Mungu anajua yote ila ana utaratibu wake ambao anatuonyesha wanadamu , Mungu hana mguu wala mkono hizo ni lugha za picha kuonyesha kuwa jambo fulani limekamilika au limefanyika
Then hazina maana kuzitumia.

Huwezi ukaniambia ataweka mguu au atauliza kwamba jehanam imejaa halafu uniambie hiyo ni lugha ya picha,labda kama neno lugha lina maana tofauti na ninayoielewa mimi
 
Then hazina maana kuzitumia.

Huwezi ukaniambia ataweka mguu au atauliza kwamba jehanam imejaa halafu uniambie hiyo ni lugha ya picha,labda kama neno lugha lina maana tofauti na ninayoielewa mimi
Ndio ni lugha ya picha mimi ndio nakwambia sasa kwasababu Mungu alisha jipambanua yeye ni wa namna gani , wewe kuamini au kutokuamini sio tatizo letu , ni ufinyu wako wa kutoelewa maandiko
 
Hatari sana... Yesu Kristo alileta amani. Walipompelekea mwanamke aliyezini akawaandikia, "mtu asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu" wote wakasepa. Huu ujasiri hawa ndg wanaupata wapi?.
Kumbe hii sheria ipo tokea wakati wa Yesu, sasa hao wana makosa gani kuitekeleza ?
 
Hii dini na wafuasi wake wako sama za ujima dark ages ukitaka kujua hilo uliza kwa kalenda yao ni mwaka gani sasa,plus mafundisho yao wanakua ni savages watupu.
 
Huu sio unyama ni sheria , kama ambavyo unaona wasaliti wa nchi wanavyo uliwa , Mungu hajawai kuwa na huruma muda wote ndio maana anaweza kuua mama na baba akaacha katoto hakana wazazi kanatia huruma, ndivyo hivyo hivyo katika sheria zake
Huyo labda ni mungu wenu maanake kuna miungu wengi kama dini zilivyo nyingi vilevile.
 
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....

Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.

Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================

This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.

Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.

The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.




article-1235763-0796CC53000005DC-209_634x617.jpg
Hawa ni 'Khawarij Takfir'...

adriz Bwana Utam Ritz
 
Mzinifu Apigwe Mawe Mpaka Kufa Hata Kwenye Kitabu Cha Wayahud Imeandikwa Hvo Pia Hata Kwenye Torati Imeandikwa Hvo Kabla Ya Torati Kuharibiwa Na Kubaki Kumbukumbu La Torati Amri Hii Ilitekelezwa,huyo Mzungu Aliyekufundisha Haki Za Binadamu Kila Siku Anauwa Mamia Na Kudhurumu Ila Wewe Haushangai
 
Hii dini na wafuasi wake wako sama za ujima dark ages ukitaka kujua hilo uliza kwa kalenda yao ni mwaka gani sasa,plus mafundisho yao wanakua ni savages watupu.
huenda Wewe Ndo Uko Ages Huelewi Maana Ya Calendar.Kwani Kinachoipa Ubora Gregorian Calendar Ni Nini Mpaka Ushangae Calendar Ya Kiislamu?.Hiyo Ni Calendar Ya Kiislamu Inahesabu Matukio Ya Kiislamu Tu Ndo Maana Nyinyi Haiwahusu.Pia Mafundisho Ya Kiislamu Ndio Mafundisho Bora Na Ndio Maana Waislamu Wanaongoza Kwa Tabia Njema Mtaani Na Wewe Ni Shahid
 
Kumbe hii sheria ipo tokea wakati wa Yesu, sasa hao wana makosa gani kuitekeleza ?
1. Agano la kale chini ya Musa liliruhusu hayo. Jino kwa jino na jicho kwa jicho. Mambo ya walawi 24:19-20. 2. Agano jipya chini ya Yesu Bwana. Hili limebeba upendo na msamaha. Mathayo 5:38-44.
 
Mzinifu Apigwe Mawe Mpaka Kufa Hata Kwenye Kitabu Cha Wayahud Imeandikwa Hvo Pia Hata Kwenye Torati Imeandikwa Hvo Kabla Ya Torati Kuharibiwa Na Kubaki Kumbukumbu La Torati Amri Hii Ilitekelezwa,huyo Mzungu Aliyekufundisha Haki Za Binadamu Kila Siku Anauwa Mamia Na Kudhurumu Ila Wewe Haushangai
Wabongo unafki mwingi sana, mtu akiiba simu au kuku anapigwa matofali na linatafutwa pira la gari na petrol anatiwa kiberiti halafu humuhumu watu wanajisifu kua wamempiga mwizi.

Mke wa mtu akifumaniwa mume anacharanga mapanga na wengine wananunua viroba vya mkaa kabisa vya kumchoma huyo mnzinzi halafu watu humu humu wanasifu na kupongeza juu.

Halafu haohao povu linawatoka kwa mume mzinzi aliejipeleka mwenyewe kwa hiyari yake akahukumiwe kwa madhambi aliyoyafanya ambayo madhara yake yanaweza kusababisha mume wa huyo mwanamke aliezini akamcharanga mapanga mkewe tena huenda akaua mpaka watoto kwa kuhisi nao haikua damu yake.

Hio adhabu ya kupigwa mawe wanandoa waliozini katika dini ushahidi wa kumtia hatiani huyo mzinzi hua ni mgumu sana, mara nyingi watuhumiwa huwa wanajipeleka wenyewe kwa hakimu na kukiri makosa yao ili waadhibiwe pasi na kulazimishwa na mtu.

Kabla ya kuropokwa kwa chuki zenu binafsi muwe mnauliza kwanza hata namna ya kesi na hukumu inavyotekelezwa.

Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom