AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Dini ni Ujinga pandikizi.Dah aisee watu ni wakatili mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni Ujinga pandikizi.Dah aisee watu ni wakatili mno
Huyo kafanya nini mkuu? Kaiba simu?Wabongo unafki mwingi sana, mtu akiiba simu au kuku anapigwa matofali na linatafutwa pira la gari na petrol anatiwa kiberiti halafu humuhumu watu wanajisifu kua wamempiga mwizi.
Mke wa mtu akifumaniwa mume anacharanga mapanga na wengine wananunua viroba vya mkaa kabisa vya kumchoma huyo mnzinzi halafu watu humu humu wanasifu na kupongeza juu.
Halafu haohao povu linawatoka kwa mume mzinzi aliejipeleka mwenyewe kwa hiyari yake akahukumiwe kwa madhambi aliyoyafanya ambayo madhara yake yanaweza kusababisha mume wa huyo mwanamke aliezini akamcharanga mapanga mkewe tena huenda akaua mpaka watoto kwa kuhisi nao haikua damu yake.
Hio adhabu ya kupigwa mawe wanandoa waliozini katika dini ushahidi wa kumtia hatiani huyo mzinzi hua ni mgumu sana, mara nyingi watuhumiwa huwa wanajipeleka wenyewe kwa hakimu na kukiri makosa yao ili waadhibiwe pasi na kulazimishwa na mtu.
Kabla ya kuropokwa kwa chuki zenu binafsi muwe mnauliza kwanza hata namna ya kesi na hukumu inavyotekelezwa.
Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
Kwa nini usipigie mstari tu kusema, mle hakuna Mungu? Kuna li jiungu fulani hivi limepotosha mamilion ya watu, linawaamrisha waue na wanafanya hivyoNi kusema mwenyezi’mngu ataingia motoni?,kufanya nini ikiwa anao uwezo wa kujua yote?
Ni kusema zipo scenes hawezi kuzing’amua mpaka mwenyewe akatie jicho kuthibitisha?na kama ameshindwa hata kwa hisia kujua jehanam imejaa atakuwa kweli na uwezo wa kutoka ikiwa moto umesema YATOSHA na mlango kujifunga?
Bado naendelea kujifunza
Mzinifu Apigwe Mawe Mpaka Kufa Hata Kwenye Kitabu Cha Wayahud Imeandikwa Hvo Pia Hata Kwenye Torati Imeandikwa Hvo Kabla Ya Torati Kuharibiwa Na Kubaki Kumbukumbu La Torati Amri Hii Ilitekelezwa,huyo Mzungu Aliyekufundisha Haki Za Binadamu Kila Siku Anauwa Mamia Na Kudhurumu Ila Wewe Haushangai
Huu sio unyama ni sheria , kama ambavyo unaona wasaliti wa nchi wanavyo uliwa , Mungu hajawai kuwa na huruma muda wote ndio maana anaweza kuua mama na baba akaacha katoto hakana wazazi kanatia huruma, ndivyo hivyo hivyo katika sheria zake
Unamuogopa kiranga eeh..!
Huyo hapo ktk picha hiyo hukumu kapewa si kwasababu ya uzinzi.Mzinifu Apigwe Mawe Mpaka Kufa Hata Kwenye Kitabu Cha Wayahud Imeandikwa Hvo Pia Hata Kwenye Torati Imeandikwa Hvo Kabla Ya Torati Kuharibiwa Na Kubaki Kumbukumbu La Torati Amri Hii Ilitekelezwa,huyo Mzungu Aliyekufundisha Haki Za Binadamu Kila Siku Anauwa Mamia Na Kudhurumu Ila Wewe Haushangai
Huyo hapo ktk picha hiyo hukumu kapewa si kwasababu ya uzinzi.
Uzinzi huwa wanahukumiwa hivyo wanawake.
Huyo kosa lake hapo kaonekana kuukataa uislamu ndio kashitakiwa kwa ajili hiyo.
Ndio maana kwenye picha ya kwanza hapo kanyoosha kidole wanamlazimisha kwanza kukiri hakuna Mungu zaidi ya Allah na muhamad ni mtume wake.( Laah ilah ilalah muhamad lasulilah) sijui km inaandikwa hivyo.
Hawa watu ni makatili zaidi ya SHETANI.
Hapo ni Somalia na wanaemuuwa ni ndg yao wa jamii yao.
Nimeenda site Somalia tulikuwa chini ya UN muda wote tupo kambini chini ya ulinzi mkali.
Siku moja moja ndio tunatoka nje na gari za jeshi full escort hakuna kusimama unaoneshwa pale ndio sehemu fulani huku gari mwendo mdundo.
Na inapotokea wamekamata mkristo kwao ni kama wameona nyoka.
Siku ya kumuuwa Inakuwa km sherehe inapigwa mbiu.
Wanauwanja wao wanatoka wadogo kwa wakubwa kwenda kuuwa kafiri km picha inavyoonesha hapo.
Yaani inakuwa ni siku ya furaha sana kwao.
Hazikwi hai anauliwa kwa kupigwa mawe , ebu kajifunze tenaUnapomzika mtu akiwa hai kisa huyo 'mungu' wako, hebu tudhihirishie humu kwa hili jukwa uwepo wa huyo 'mungu' ambaye anasababisha ufanye unyama wa kihivyo.
Una maana Israel wanatekeleza ukatili huu? Sudhani!Hii ni sheria ya Torah yaani Torati ya Wayahudi hata waIsrael ukiloweka ovyo unagongwa stone hadi kufa lakini kwa sababu kuna sheria za nchi hakina ushenzi kama huu Israel.
Soma vizuri acha kukurupukaUna maana Israel wanatekeleza ukatili huu? Sudhani!
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....
Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.
Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================
This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.
Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.
The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.
![]()
Kawaida kama watu wanaweza kuua kisa nchi au familia yake, ajabu iko wapi kuua kwa kutekeleza sheria ya MunguVyovyote vile, huwa mnafanya mengi tu hata kukata vichwa kisa huyo 'mungu' katili ambaye hamuna uwezo wa kudhihirisha uwepo wake zaidi ya kuvaa mikanzu na kulea mindevu.
Hivi ni vipande kutoka kwenye video moja ya mauaji yaliyokuwa yanafanywa na Al_Shaabab huko Somalia kwenye maeneo ambayo walikuwa wanayatawala. Huyo mungu wao ni Mwendawazimu.Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekua ukimuabudu na kusababisha ufanye maukatili mengi kumbe siye.....
Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa kumthibitishia mtu yeyote kwamba kweli Mungu yupo, hivyo siwezi kumfanyia mtu maukatili kisa Mungu ambaye siwezi nikathibitisha uwepo wake.
Uwepo wa Mungu ni personal experience, yaani mimi hapa nimeona na kushuhudia Mungu kwenye maisha yangu ila sio kitu ambacho ninaweza kumthibitishia mtu mwengine, hivyo tuache kulazimishana haya mambo...
Wewe muombe Mungu wako amtembelee mwenzako kama alivyokutembelea wewe, acha kulazimisha
==============================
This barbaric scene belongs in the Dark Ages, but pictures emerged today of a group of Islamic militants who forced villagers to watch as they stoned a man to death for adultery.
Mohamed Abukar Ibrahim, a 48-year-old, was buried in a hole up to his chest and pelted with rocks until he died.
The group responsible, Hizbul Islam, also shot dead a man they claimed was a murderer.
![]()