Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

Ukinionyesha vifungu hivyo kwenye agani jipya hasa Injili ya Yesu Kristo nitaachana na ukristo leo hii.


Naona bado umebaki na ukristo , pata na hii moto moto

1704907319475.jpeg
 
Swali langu linabaki pale pale, dhihirisha uwepo wa huyo allah wenu katili ambaye huwafanya mchinje watu

Tafuta mtu akutafsirie hiki kingereza aidha kwa kiarabu lugha yenu ya peponi au kiswahili

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Bwana Yesu anasema katika
Mathayo 10:34-39.

“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake. Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.


Na pia YESU akasisitiza kuwa

LUKQ 19:27 .

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.


Kwahio JIHADI kaanzisha Yesu.
Sisi tunaiga tu.
 
Tuendelee kufanya uzi wetu ubaki top na views, mauchafu yenu yanapaswa kuanikwa siku zote mpaka siku mtakubali kuishi na watu kwa amani....

Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
Tusome BIBLIA ili kujifunza Mazuri inayotusomesha.

BIBLIA INASEMA ktk MATAYO 2: 16 .
Mfalme Gerode akawatuma watu kuwaua watoto wote wa kiume wenye umri wa miaka miwili kwenda chini katika mji wa Betlehemu na sehemu zote za jirani,

Kwahio tusiwalaumu Waisraeli kuua watoto. Hii ni ktk andiko la Bible.

Bible pia inasema Mwanamke akibakiwa BASI AUWAWE .

Deuteronomy 22:22-23, if a man rapes a married woman within a town, the woman is put to death.

Pia tunajifunza hapa kuwa atakaepinga UKRISTO anastahiki KUUAWA.

YESU anasema Katika LUKA 19:27.

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Tunaendelea kujifunza Maneno mazuri kutoka ktk BIBLE Polepole.

Naomba tulete maandiko sio matusi na kashfa.
 
Hujajibu swali langu, naomba aya inayohalalisha kuuwa watu wasio na hatia!

Na usipokuja na jibu, basi naomba usioquote!
Naona unajaribu kumpigia mbuzi gitaa ukitaraji acheze hapa utakesha Akhy.

Kuffar anatakiwa kuona andiko lake linasema nini kuhusu hicho hicho wanacho sema uongo kuhusu dini hii isiokuwa na shaka ndani yake.

YESU ANASEMA Yeyote atakaepingana na yeye anatakiwa KUUAWA.

LUKA 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Biblia inasema ati Mungu kasema ukitaka furaha kamata mtoto umpigize kichwa chake kwenye Jiwe .

Psalm 137:9, he [God] told us that we should be happy to take the innocent babies and dash them against the stones.

Hayo ni baadhi tu ya mafunzo ya biblia.
 
Ukinionyesha vifungu hivyo kwenye agani jipya hasa Injili ya Yesu Kristo nitaachana na ukristo leo hii.
Ktk Agano Jipya YESU ANASEMA ktk LUKA 19: 27 .

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Na YESU anahimiza ktk MATHAYO 5 :17 Kuhusu watu wanaotaka kujaribu KUKANA AGANO LA KALE.

YESU ANASEMA
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

KIFUPI MKRISTO YYT ATAKAEPINGA TORATI AU AGANO LA KALE Atakuwa msaliti mbele ya ufalme wa Mungu.
 
Vita vya dunia vya pili vilikuwa vita vikali zaidi katika historia ya wanadamu. Vyanzo rasmi vya majeruhi vinakadiria vifo vya vita katika karibu wanajeshi milioni 15 na vifo vya raia zaidi ya milioni 38.

Haya mauaji yamefanywa na Wakisristo lakini huwezi kuona wala kusema chochote sababu watu wa dini yako ndiyo wamehusika lakini wewe chuki yako dhidi ya Waislam tu na upo radhi kuongea chochote.

Usiwe punguani wewe! hapo sijakuwekea mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Wakisristo wenzako

Nionyeshe wapi vita vya wazungu wakiua na kichinja watu na kujilipua na kuua watu wasio na hatia huku wakitaja jina la Yesu,ila tabia hizo ni kawaida sana kwa waislam kuua huku wakimtukuza ala kwa mauaji wanayoyafanya,dunia imepata hasara kubwa tangu kuja kwa hii imani.
 
Hahahhaha unaikana biblia kazi yenu kushqmbulia Waislam biblia hamfahamu kabisa😂
Nilichoandika ni hiki hapa
Satan verse ni hatari sana inamfanya binadamu anakuwa hatari zaidi ya mnyama yeyote
Fikiria ata mvuta bangi hawezi fanya hayo wanayo fanya hao wafuasi wa allah.

Hiki kinausiana nini na masuala ya nywele.
 
Nionyeshe wapi vita vya wazungu wakiua na kichinja watu na kujilipua na kuua watu wasio na hatia huku wakitaja jina la Yesu,ila tabia hizo ni kawaida sana kwa waislam kuua huku wakimtukuza ala kwa mauaji wanayoyafanya,dunia imepata hasara kubwa tangu kuja kwa hii imani.
Timothy mac veigh unamfahamu. Au unaropoka tu.
KKK kabla ya kuua wanachoma msalaba mbele ya nyumba yako. Au hujui kuwa wewe na mimi ngozi zetu hazitakiwi na mtu mweupe.!
Acha kutetea ujinga. Soma kwanza
 
Kama inauma chomoa,ukitaka njoo na wewe mana naona kinyeo kina kuwasha
Tatizo la kina mama wazee ambao mmechezea ujana wenu kwenye zinaa mnazeeka vibaya.
We mama zima huna haya kutukana mbele ya watu namna hii?
Kushindwa kupata mume sio mkosi bali ni tabia zako mwenyewe Bi mkubwa.
 
Nionyeshe andiko lolote la kiswahili au la kiingereza ambalo Yesu alitaja gay.
Unataka andiko kupinga ushoga au kusapoti.

Utakacho amua PAPA amesharuhusu Ushoga.
Na yeye ndio muwakilishi wa Kanisa kuu Duniani.

Na hakuna mkristo yyt anaweza kumpinga PAPA akakubaliwa.
 
Unataka andiko kupinga ushoga au kusapoti.

Utakacho amua PAPA amesharuhusu Ushoga.
Na yeye ndio muwakilishi wa Kanisa kuu Duniani.

Na hakuna mkristo yyt anaweza kumpinga PAPA akakubaliwa.
Hakuna kanisa kuu, kanisa ni moja tu alilolijenga Kirsto na siyo haya madhehebu ya kidini yenye malengo ya kidini.

Narudia tena nionyesheni andiko lolote kwenye biblia ambalo Yesu alitaja gay.
 
Hakuna kanisa kuu, kanisa ni moja tu alilolijenga Kirsto na siyo haya madhehebu ya kidini yenye malengo ya kidini.

Narudia tena nionyesheni andiko lolote kwenye biblia ambalo Yesu alitaja gay.
Acha kusema Uongo.
YESU HAJAWAHI KUJENGA KANISA. wala Kuingia kanisani.
Wakristo wote wa Tanzania hakuna mwenye SAUTI zaidi YA KADINALI PENGO.

Na Kadinali Yuko CHINI YA PAPA.

Akisemacho PAPA LZM KIFUATWE.

We kama unajiamini ni MKRISTO WA KWELI kesho simama Brbrni Kisha useme "PAPA KURUHUSU USHOGA AMEKWENDA KINYUME NA BIBLIA na APINGWE". Uone km utatoka salama hapo ulipo.

Ndoa za Jinsia moja ZINAFUNGWA MAKANISANI.
Na PAPA Ameruhusu tena WAZI KABISA. Na Amesema YESU hajakataza sehemu YYT. .
We tuonyeshe WAPI YESU AMEKATAZA USHOGA kwenye AGANO JIPYA.
 
Popote pale Mungu anapoanzisha madhabahu yake Shetan nae ujenga Shrine yake.baada ya Yesu Kuja ilichukua miaka mi 5 hivi shetan nae akajenga shrine yake uko Madina.
Kwahio VATICAN kuruhusu Ndoa za Jinsia moja ni kanisa la Kikristo au la shetani.
Tuanzia hapo kwanza miss paroko
 
Asalaam alykum maalim?.
Nb-Papa hajaruhusu ndoa za jinsia moja na hana huo ubavu.
Huwa siandiki chochote bila uhakika.
Sio kuruhusu tu bali KATOA AMRI viongozi wote wa makanisa waruhusu pia NDOA ZA JINSIA MOJA.

Soma hizi link kwa nafasi yako.
bc-out/out-news/pope-francis-sex-blessings-policy-triggers-healing-old-pain-lgbtq-cath-rcna130681


 
HII HAPA BIBLIA

Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.

Walawi 20:10

Tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
 
Back
Top Bottom