ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
TABU IKO PALE PALETudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Walawi 20:10