UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

Mbona hata Sasa hivi Ofisi za Makao Makuu ya UN Habitat Kanda ya Afrika zipo Nairobi Kenya, Je, umeona zimechomwa moto kwenye hayo maandamano ya Vijana wa Gen-Z??

Nafikiri kabla ya kutoa maoni yako humu mtandaoni jaribu kwanza kufanya utafiti kidogo juu ya kile unachotaka kueleza.
Usinifundishe namna ya kutoa mawazo, nina akili kukuzidi.

Shut your mouth when an intelligent man is talking.
 
View attachment 3422979

Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika mengi ya UN.

Tayari Nairobi inahifadhi mashirika 23 ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo mashirika makuu kama UNEP na UN-Habitat.

Pia kuna mipango ya Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kuhamishia shughuli zake Afrika, jambo litakaloongeza zaidi nafasi ya bara hilo katika majukumu ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu.

Hatua hii ni sehemu ya ajenda ya mageuzi ya UN iitwayo “UN@80”, ambapo Katibu Mkuu António Guterres ametaja ufanisi wa gharama kama sababu kuu ya mabadiliko hayo.

Gharama za uendeshaji katika miji kama New York na Geneva – kutoka kwa nafasi za ofisi hadi wafanyakazi na vifaa – ni kubwa zaidi ikilinganishwa na Nairobi.

Zaidi ya gharama, uhamisho huu pia unaonekana kama mkakati wa kuelekeza nguvu zaidi barani Afrika, ambalo linahusika na zaidi ya asilimia 60 ya shughuli za kibinadamu za Umoja wa Mataifa.

Mabadiliko haya yanachukuliwa kama ishara kubwa ya kuaminiwa kwa Nairobi kama kitovu cha kidiplomasia duniani.
Tanzania hii ya WAFIRAJI MAFWELE na wenzake
 
Unataka wahamishie Mtumba au Vikonje?!
 
Geopolitical Influence: Regional Leadership and; or Insisting Organizational Head Quarters
Ni kweli kabisa.
Lakini pia Utawala wa Nchi husika ni Mojawapo ya sababu ya msingi kwenye suala hili.
Nchi ikiwa ina Utawala mbaya wa kidikteta, hakuna Demokrasia Wala Utawala Bora wa Sheria, ni vigumu Sana kuvutia Taasisi za kimataifa kuweza kuweka Ofisi zao.
Mathalani, Vituo vya Utangazaji vya Idhaa za Kimataifa za Kiswahili za BBC na RFI wamehamishia Ofisi zao Nairobi Kenya baada ya kukumbana na vurugu za kiutawala kutoka kwa Watawala wa hapa Tanzania.
 
Wakenya ukiondoa masuala mengine kama siasa za kudundana wako uzuri kwenye miundombinu na umeme wa uhakika.

Hata maeneo ambayo kuna ofisi za kimataifa hakuna shida ya umeme, usalama, miundombinu wala ukakasi mwingine.

Ni maeneo ya kimkakati tu ndo yahusika.
 
Bora waKenya wana Siasa za kudundana kuliko Tanzania ambako kuna Siasa chafu kabisa za kutekana, kutesana, kubaka, kulawiti, kuua na kufanyiana kila aina ya uovu wa shetani.
 
View attachment 3422979

Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika mengi ya UN.

Tayari Nairobi inahifadhi mashirika 23 ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo mashirika makuu kama UNEP na UN-Habitat.

Pia kuna mipango ya Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kuhamishia shughuli zake Afrika, jambo litakaloongeza zaidi nafasi ya bara hilo katika majukumu ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu.

Hatua hii ni sehemu ya ajenda ya mageuzi ya UN iitwayo “UN@80”, ambapo Katibu Mkuu António Guterres ametaja ufanisi wa gharama kama sababu kuu ya mabadiliko hayo.

Gharama za uendeshaji katika miji kama New York na Geneva – kutoka kwa nafasi za ofisi hadi wafanyakazi na vifaa – ni kubwa zaidi ikilinganishwa na Nairobi.

Zaidi ya gharama, uhamisho huu pia unaonekana kama mkakati wa kuelekeza nguvu zaidi barani Afrika, ambalo linahusika na zaidi ya asilimia 60 ya shughuli za kibinadamu za Umoja wa Mataifa.

Mabadiliko haya yanachukuliwa kama ishara kubwa ya kuaminiwa kwa Nairobi kama kitovu cha kidiplomasia duniani.
UN tayari walishajenga complex yao kubwa sana nairobi hivyo wanapofanya kuhamishia makao ya baadhi ya asadinzao haiwagharimu sana
 
Bora waKenya wana Siasa za kudundana kuliko Tanzania ambako kuna Siasa chafu kabisa za kutekana, kutesana, kubaka, kulawiti, kuua na kufanyiana kila aina ya uovu wa shetani.
Ni kweli zipo nchi kama Tanzania zahitaji wanasiasa kutoonena haya katika masuala yanohusu taifa na maslahi mazima ya taifa.

Haiwezekani watu watekwa, wateswa na kuuawa bila mtu au watu kuwajibishwa.

Hiyo yaonyesha jinsi ambavyo nchi yaendeshwa kihuni.
 
View attachment 3422979

Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika mengi ya UN.

Tayari Nairobi inahifadhi mashirika 23 ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo mashirika makuu kama UNEP na UN-Habitat.

Pia kuna mipango ya Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kuhamishia shughuli zake Afrika, jambo litakaloongeza zaidi nafasi ya bara hilo katika majukumu ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu.

Hatua hii ni sehemu ya ajenda ya mageuzi ya UN iitwayo “UN@80”, ambapo Katibu Mkuu António Guterres ametaja ufanisi wa gharama kama sababu kuu ya mabadiliko hayo.

Gharama za uendeshaji katika miji kama New York na Geneva – kutoka kwa nafasi za ofisi hadi wafanyakazi na vifaa – ni kubwa zaidi ikilinganishwa na Nairobi.

Zaidi ya gharama, uhamisho huu pia unaonekana kama mkakati wa kuelekeza nguvu zaidi barani Afrika, ambalo linahusika na zaidi ya asilimia 60 ya shughuli za kibinadamu za Umoja wa Mataifa.

Mabadiliko haya yanachukuliwa kama ishara kubwa ya kuaminiwa kwa Nairobi kama kitovu cha kidiplomasia duniani.
Wala usiwaze Ndugu TIME WILL TELL. Hawa Hawa ambao waliiba ndege za E.A Community. Wana kampeni ya Jiji lao liwe na ofisi zote za UN toka zamani. Nairobi iwe Ulaya Ndogo. Wanataka kuwa kama US. Lakini UKWELI UTABAKI UKWELI, it is BLOOD country. After every three or four blood will spend.
 
Wakenya wametushinda kwenye jukwaa la kimataifa khasa jikoni Marekani, kwani hata Diaspora wa Kenya wengi wamejikita hata katika kupigia kampeni (lobbying) kuhusu nchi yao kwa wawekezaji.

Ukiwa Baltimore Maryland ambao ni mji ulo karibu na Washington DC ambao ndo mji wa madili, huwezi kuwakosa wakenya pale. Washington DC pia ipo karibu na mji wa Northern Virginia ambao mto Potomac wapita hapo na hapo pana wakenya wengi sana wenye ukaazi halali kabisa wa Marekani.

DC pana wakenya wengi wanofanya kazi hapo pamoja na wageni wengine lakini wakenya ni wengi pamoja na miji mingine ya jirani kama Pennsylvania na Delaware.

Hivyo tiyari ukiwa na watu wako katika nchi kama Marekani tiyari una influence (ushawishi) mkubwa kwa taasisi kama UN.
 
Wala usiwaze Ndugu TIME WILL TELL. Hawa Hawa ambao waliiba ndege za E.A Community. Wana kampeni ya Jiji lao liwe na ofisi zote za UN toka zamani. Nairobi iwe Ulaya Ndogo. Wanataka kuwa kama US. Lakini UKWELI UTABAKI UKWELI, it is BLOOD country. After every three or four blood will spend.
Lakini umesikia wageni na mataasisi mengi tu yaliyo pale wakiathirika na vurugu zozote zitokeazo Kenya?
 
Great! Kwa watanzania safi sana, mama ataenda kwa basi tu hapo jirani atapunguza safari za kwenda kusutwa na mabeberu
 
1753782432382.jpeg
 
Back
Top Bottom