Umeongea kama taahira.Wamefanya vyema.
Ningeshangaa Sana endapo kama wangepanga kuhamishia Makao Makuu ya Taasisi hizo nchini Tanzania.
Licha ya mapungufu yao madogo madogo waliyonayo, bado Kenya ni nchi ya Kidemokrasia na yenye Katiba Bora ukilinganisha na nchi nyingi sana za kiAfrika na duniani kote kwa ujumla.
Tunahitaji kutenga eneo Dodoma kwenye mji wa kiserikali hili eneo liitwe international street, tujenge maofisi na mashirika yapewe nafasi kwa discounted rates, eneo hili liwe na ofisi na makazi. sasa hivi dar unakuta nyumba anaishi balozi jirani yake kuna danguro linaitwa lounge, usiku kucha wanapiga mziki na kusaula hovyo, na hizi spika za ahuja ndo usiseme ukiwa ndani utadhani nje kuna shetani anafanya tafrija.
Ung'ang'ane kuleta balozi nchini kwako badala ya kung'ang'ana kujenga skimu za umwagiliaji, viwanda vya kusindika mazao,kujenga taasisi za elimu?!..nyi huwa mkoje?.. unaweza kuwalazimisha UN kuleta ofisi zao tz,au nchi kuleta balozi zao?..hizo balozi zimeenda kenya na bado 40% ya chakula chao wanatoa tz!!Baadhi ya balozi kuhamishia huduma zake jirani hapa nchini zikibaki kama balozi ndogo unaona ni sawa tu siasa zinakufanya uwaze kila kitu na sawa ?
Umeongea kama taahira.
UN wamefulia, wanahamia Nairobi kwasababu ni gharama ndogo kuliko NY.
Haina manufaa yoyote kwa Mkenya wa kawaida
Hmna mnachokijua mnatengeneza nospiracy theo zenu UN ishajifia wanakuja kuizika Afrika ww hujiuliz nchi zote duniani why zije Kenya. Niliandika miez 5 nyuma kama Un itaunganisha mashirika yke katk mkakat wa kupunguza costNi kweli kabisa.
Lakini pia Utawala wa Nchi husika ni Mojawapo ya sababu ya msingi kwenye suala hili.
Nchi ikiwa ina Utawala mbaya wa kidikteta, hakuna Demokrasia Wala Utawala Bora wa Sheria, ni vigumu Sana kuvutia Taasisi za kimataifa kuweza kuweka Ofisi zao.
Mathalani, Vituo vya Utangazaji vya Idhaa za Kimataifa za Kiswahili za BBC na RFI wamehamishia Ofisi zao Nairobi Kenya baada ya kukumbana na vurugu za kiutawala kutoka kwa Watawala wa hapa Tanzania.
We unazitaka za nini?View attachment 3422979
Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika mengi ya UN.
Tayari Nairobi inahifadhi mashirika 23 ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo mashirika makuu kama UNEP na UN-Habitat.
Pia kuna mipango ya Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kuhamishia shughuli zake Afrika, jambo litakaloongeza zaidi nafasi ya bara hilo katika majukumu ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu.
Hatua hii ni sehemu ya ajenda ya mageuzi ya UN iitwayo “UN@80”, ambapo Katibu Mkuu António Guterres ametaja ufanisi wa gharama kama sababu kuu ya mabadiliko hayo.
Gharama za uendeshaji katika miji kama New York na Geneva – kutoka kwa nafasi za ofisi hadi wafanyakazi na vifaa – ni kubwa zaidi ikilinganishwa na Nairobi.
Zaidi ya gharama, uhamisho huu pia unaonekana kama mkakati wa kuelekeza nguvu zaidi barani Afrika, ambalo linahusika na zaidi ya asilimia 60 ya shughuli za kibinadamu za Umoja wa Mataifa.
Mabadiliko haya yanachukuliwa kama ishara kubwa ya kuaminiwa kwa Nairobi kama kitovu cha kidiplomasia duniani.
=======================
Nairobi joins New York, Geneva and Vienna as only cities globally hosting multiple UN headquarters
The United Nations is set to relocate theglobal offices of UNICEF, UNFPA, and UN Women to Nairobi by 2026, elevating the Kenyan capital to the ranks of New York, Geneva, and Vienna as one of only four cities globally hosting multiple UN headquarters.
Nairobi already hosts 23 UN agencies, including flagship bodies like UNEP and UN-Habitat.There are also plans for the Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA) to move its operations to Africa, further strengthening the region's role in global humanitarian response.
The move is part of the UN's wider "UN@80" reform agenda, with Secretary-General António Guterres citing cost efficiency as a key driver.(AD)Operating costs in New York and Geneva, from office space to staffing and logistics, are significantly higher compared to Nairobi.Beyond cost, the relocation is also seen as a strategic realignment toward Africa, which accounts for over 60% of the UN's humanitarian work.This shift is being viewed as a major vote of confidence in Nairobi as a global diplomatic hub.
Source: Developmentaid
Na Nina safari ya Nairobi Kwa ajili ya visa 🙇Juzi kati tu visa ya US tuliipata Nairobi
Ya Israel pia 😄
Ung'ang'ane kuleta balozi nchini kwako badala ya kung'ang'ana kujenga skimu za umwagiliaji, viwanda vya kusindika mazao,kujenga taasisi za elimu?!..nyi huwa mkoje?.. unaweza kuwalazimisha UN kuleta ofisi zao tz,au nchi kuleta balozi zao?..hizo balozi zimeenda kenya na bado 40% ya chakula chao wanatoa tz!!
Arusha imekosa makao makuu hayo kisa uzembe wa familia Moja
Kenya kuna wageni na mashirika ya kigeni mengi sana.Sio kweli manufaa kiuchumi yapo kwani hao watumishi hawaishi, hawali, hawafanyi starehe, hawana mahitqji mbalimbali kiuchumi lazima kuwepo na manufaa ( multiplier effect/spiral)
Unataka serikali ifanyaje,ilazimishe wasihamishe balozi?..Huwezi kung'ang'ania sijui hata kama unaelewa baadhi ya balozi zimekuwa na manufaa makubwa sana kwa nchi yetu toka enzi na enzi mfano balozi za Nodic region/ Scandnavia ( Denmark, Sweden, Norway etc) jielimishe juu ya hilo. Denmark walikuwa wawekezaji wakubwa sana na walisaidia mapinduzi ya bank ya CRDB enzi hizo inaitwa Cooperative Rural Fevelepment Bank.
Kenya kuna wageni na mashirika ya kigeni mengi sana.
Hao watu hawali kwa mama ntilie.
Watafanya maisha kuwa magumu zaidi na kodi za nyumba kuwa kubwa.
Unataka serikali ifanyaje,ilazimishe wasihamishe balozi?..
Umeongea kama taahira.
UN wamefulia, wanahamia Nairobi kwasababu ni gharama ndogo kuliko NY.
Haina manufaa yoyote kwa Mkenya wa kawaida
Huwezi weka taasisi kubwa kama hizo kwenye nchi ambayo bado kipofuView attachment 3422979
Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika mengi ya UN.
Tayari Nairobi inahifadhi mashirika 23 ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo mashirika makuu kama UNEP na UN-Habitat.
Pia kuna mipango ya Ofisi ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) kuhamishia shughuli zake Afrika, jambo litakaloongeza zaidi nafasi ya bara hilo katika majukumu ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu.
Hatua hii ni sehemu ya ajenda ya mageuzi ya UN iitwayo “UN@80”, ambapo Katibu Mkuu António Guterres ametaja ufanisi wa gharama kama sababu kuu ya mabadiliko hayo.
Gharama za uendeshaji katika miji kama New York na Geneva – kutoka kwa nafasi za ofisi hadi wafanyakazi na vifaa – ni kubwa zaidi ikilinganishwa na Nairobi.
Zaidi ya gharama, uhamisho huu pia unaonekana kama mkakati wa kuelekeza nguvu zaidi barani Afrika, ambalo linahusika na zaidi ya asilimia 60 ya shughuli za kibinadamu za Umoja wa Mataifa.
Mabadiliko haya yanachukuliwa kama ishara kubwa ya kuaminiwa kwa Nairobi kama kitovu cha kidiplomasia duniani.
=======================
Nairobi joins New York, Geneva and Vienna as only cities globally hosting multiple UN headquarters
The United Nations is set to relocate theglobal offices of UNICEF, UNFPA, and UN Women to Nairobi by 2026, elevating the Kenyan capital to the ranks of New York, Geneva, and Vienna as one of only four cities globally hosting multiple UN headquarters.
Nairobi already hosts 23 UN agencies, including flagship bodies like UNEP and UN-Habitat.There are also plans for the Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA) to move its operations to Africa, further strengthening the region's role in global humanitarian response.
The move is part of the UN's wider "UN@80" reform agenda, with Secretary-General António Guterres citing cost efficiency as a key driver.(AD)Operating costs in New York and Geneva, from office space to staffing and logistics, are significantly higher compared to Nairobi.Beyond cost, the relocation is also seen as a strategic realignment toward Africa, which accounts for over 60% of the UN's humanitarian work.This shift is being viewed as a major vote of confidence in Nairobi as a global diplomatic hub.
Source: Developmentaid
Watanzania kwakujidharau hatujambo mmefanya kenya mitandaoni wanainanga tanzania kama nchi ya hovyo sana kwa theories tu mitandaoni. unakuta mtanzania anamuunga mkono Mkenya kuwa ninyi mpo vema zaidi yetu.
Huwa najiuliza maswali hivi tuna nchi ya wajinga hivi, Charity begins at home, kwenu hata kama ni pakijinga vipi bado unapaswa kutembea mbele ukiwaonesha watu kwetu ni bora kuliko kwenu. Wanaoisifia kenya hawajawahi kufika wala kuijua ni dhana tu Kenya wanatuzidi, kenya wapo vizuri kwa lipi?
Nguo inayompendeza mwenzio waweza pewa wewe isikupendeze hata kidogo.
Kuhusu mashirika ya UN kuhamia Nairobi
UN imekufa Rasmi wala haina impact ndio maana hata haina meno. Ingekuwa na meno wala isingekuja Africa dunia inabadilika kwa kasi ( new world order ) yani mpangilio mpya wa dunia. Ref utawala wa trump na yanayotokea kwasasa. UN sio kitu tena ndio hii ilioshindwa wazuia israel kuivamia palestine wanabaki kelele tu( haina meno)
Nairobi imependwa sana na mashirika mangi moja ni kwasababu ya Lugha ya kingereza mawasiliano inakuwa Rahisi sana, Amini lugha ni sababu kuu zaidi. lakini kijiografia Nairobi na Tanzania zipo almost sawa na pengine miji mingine ya Tz kama Arusha inaipoteza Nairobi kwa utulivu na mvuto.
Pili mifumo ya utawala wa Tanzania kuanzia intelligence na Kenya ni tofauti kabisa. Kenya wanajipambanua kama capitalist kwa uwazi kiutawala mpaka intelligensia. (Huvutia walio na mrengo sawa kuwa katibu nao kwakuwa wamejipambanua). Tanzania haieleweki, inaishi kibepali bila kuukana usoshalist (socialist)
Kuna baadhi ya diplomasia zetu ni za kisoshalist mpka leo. Mfano kutofungamana na upande wowote. Tunataka kuwapendeza wa magharibi wakati huo tukiwabusu wamashariki
Tukienda leo kwenye maamuzi magumu ya yenye maslahi fungamani ya mashariki na magharibi kimataifa Tanzania huamua kukaa katikati kuwa haifungamani na upande (imetokea mara nyingi tu).
Kenya daima wanasimama na Wamagharibi na allies wao. Wanajipambanua kuwa wao ni allies wa mabepali. Hata leo ikiwafatwa kenya uwaulize msimamo wao kuhusu palestine watasema wazi hawaingi mkono Taifa huru la Palestine. Hao daima wataenda sawa na mabepari
All in all bado nchi yetu itabaki kuwa bora kuliko kenya kwa uwanda wake na kenya watabaki kuwa bora kwa uwanda wao