Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wewe mpuuzi kama unafikiria kuna siku mwekezaji atakuja kukuletea maendeleo huna akili kabisa, wawekezaji wanakuja kutafuta tuu sio kwa ajiri yako, mmepiga machinga kupitisha bomba la gas na hakuna lolote mmepata mmeachwa matako matupu, mmefukia watu Buzwagi kisingizio maendeleo mmeambulia mashimo tuu, mtajifunza lini wapuuzi nyiehakuna wanaemtisha..
Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..
Wanadakia vimaelezo vya wakenya ndio reference?
Hujakosea upo sawa kabisa. Hao watu hawaelewi point yako. There is no decision organ under UN structure in the name "UN experts..." with capacity to issue resolution on matters pertaining to member states. Experts opinion haina nguvu yoyote, ni ya kupuuza tu. In fact, UN haizuii kuhamisha raia for the sake of public interest, only provides humane procedures to be followed including consultations, fair and just compensation to the affected societies; things that openly and correctly followed during the exercise. Ofcourse, the outcomes of consultations are either consensus or voting, meaning that there could be people who are against the motion but must agree with the proponents in the context of public interest or "winning" side.Anyway, this is new to me, wacha nipitie hii kitu polpole.
Hata hao watalii they tends to avoid controversial areas.Ndio maana tuna conserve hiyo hifadhi Ili tupate mihela
Mbumbumbu wa uchumi hujui kitu zaidi zaidi ya mbususu ya mkeoWewe mpuuzi kama unafikiria kuna siku mwekezaji atakuja kukuletea maendeleo huna akili kabisa, wawekezaji wanakuja kutafuta tuu sio kwa ajiri yako, mmepiga machinga kupitisha bomba la gas na hakuna lolote mmepata mmeachwa matako matupu, mmefukia watu Buzwagi kisingizio maendeleo mmeambulia mashimo tuu, mtajifunza lini wapuuzi nyie
Na sisi tutaingia kwenye mknd wako we hayawaniMtaingiliwa mpaka mknd maana hamna akili
Kama mnapanga wenyewe mbona mnashinda Marekani kuombaomba?hakuna wanaemtisha..
Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..
Wanadakia vimaelezo vya wakenya ndio reference?
Ukiwa na akili timamu huwezi kuupenda huu utawala katilihivi humu JF hakuna Wamasai wa Loliondo ?
aise mi natamani kujua mengi ya Loliondo sasa bahati mbaya hii serikali uchwara ilizuia vyombo vya habari kurusha habari za huko step by step.
ila ukweli mimi kila kukicha nazidi kuichukia serikali ya huyu Mama sijui kwa nini
Na kutwa wapo Ulaya kuomba omba wakidai wanafungua nchiAcha ujinga, Maendeleo gani unayojipangia mwenyewe wakati bajeti yako 60% inawategemea wao?? Pesa ya matundu ya choo tu imetoka kwao.
Putin siyo ombaomba wewe kutwa kuomba na kushinda Ulaya na MarekaniWana viherehere hawa Kwanini wasimwambie Mbabe Putin?
Haya mazuzu yanatumika na CCMMaendeleo kuua watu wako ili Mwarabu amiliki jinga kabisa
Muhaho huu.hakuna wanaemtisha..
Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..
Wanadakia vimaelezo vya wakenya ndio reference?