Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wewe mpuuzi kama unafikiria kuna siku mwekezaji atakuja kukuletea maendeleo huna akili kabisa, wawekezaji wanakuja kutafuta tuu sio kwa ajiri yako, mmepiga machinga kupitisha bomba la gas na hakuna lolote mmepata mmeachwa matako matupu, mmefukia watu Buzwagi kisingizio maendeleo mmeambulia mashimo tuu, mtajifunza lini wapuuzi nyiehakuna wanaemtisha..
Maendeleo yetu tunapanga wenyewe..
Wanadakia vimaelezo vya wakenya ndio reference?