We utakuwa mukenya weweFala wewe ,maendeleo ya kupigana mabomu na kuuwana ?,huyo mwarabu hachukui hilo eneo kwa hila ,atatosha tu warume wamelivalia njuga
Wakunya lazima tuwafyeke,mko wengi Sana Tanzania in the name of Wamasai wa Tzn,tutawafyekaFala wewe ,maendeleo ya kupigana mabomu na kuuwana ?,huyo mwarabu hachukui hilo eneo kwa hila ,atatosha tu warume wamelivalia njuga
Unaropoka Sana ,weka huo uthibitisho wa bajeti yetu kutegemea 60% kwa Wazungu.Acha ujinga, Maendeleo gani unayojipangia mwenyewe wakati bajeti yako 60% inawategemea wao?? Pesa ya matundu ya choo tu imetoka kwao.
Mkuu ina maana kwenye hii Trillion 40, kumbe Trillion 24 ni za kutegemea wahisani aka mabeberu.
yaani sisi mzigo wetu ni Trilion 16 na katika hizo 80% ni matumizi ya kawaida ya Serikali na inayobaki ndiyo maendeleo
Aisee !!! vita bado ni mbichi.
Ohoooooo !!!Leo ndio awabariki?
Si mliwaita mabeberu.... mabepari.... manyang'au n.k...[emoji849][emoji848]
Nani mwenye haki ya kuishi Porini kati ya Wanyama na Binadamu???Eneo la urithi wa dunia halipaswi kuguswa na yeyote zaidi ya wakazi wake asilia ambao ni Wamasai
Bajeti ya Tanzania 70% inategemea pato la ndani mkuu!Acha ujinga, Maendeleo gani unayojipangia mwenyewe wakati bajeti yako 60% inawategemea wao?? Pesa ya matundu ya choo tu imetoka kwao.
Mkuu ina maana kwenye hii Trillion 40, kumbe Trillion 24 ni za kutegemea wahisani aka mabeberu.
yaani sisi mzigo wetu ni Trilion 16 na katika hizo 80% ni matumizi ya kawaida ya Serikali na inayobaki ndiyo maendeleo
Aisee !!! vita bado ni mbichi.
uhuru nyerere alibadishana na malkia baadhi ya vitu..Punguza mhemuko ndugu UN is UN hata uhuru wa Tanganyika tulienda kuwaomba wao.
Mkuu ni kweli unayosema? na utekelezaji wa bajeti huwa ni kwa % ngapi? chukulia mifano ya bajeti 3 zilizopita kama kielelezo.Bajeti ya Tanzania 70% inategemea pato la ndani mkuu!
Usiishi kwa kukariri kila siku.
Na nina imani bila ufisadi wa CCM, tungeweza kuwa na bajeti 100% kwa pato letu wenyewe.
wa Urusi tunakutana naye lini ?16 June 2022
Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Marekani leo jijini Dar es Salaam
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu na Balozi Wright wamezungumzia namna nzuri ya kuimarisha ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili katika Sekta za Utalii Teknolojia, Uwekezaji, Afya, Biashara, , Kilimo pamoja na sekta ya usafirishaji.
Kwa hiyo hapa wewe umejipachika ujuaji,; ulijuaje kama hukuambiwa? Na iweje serikali isiwe na uwezo wa kueleza inachonuia kufanya watu wakakielewa, bali iweke kama siri kwa watu wachache kama wewe, kwa manufaa ya nani?Ni mgeni gani anaefurahishwa huko Ololosokwan?
Je unao uelewa kwamba kelele za Loliondo sio kuhamishwa bali ni kutengewa eneo rasmi la malisho.
Serikali imewaachia
2500sq km na sasa inaweka Beacon kwenye eneo liliotengwa kwa uhifadhi kama Buffer zone.
Nyinyi huku mmekazana kupiga tararira oooh Loliondo kuna Genocide...
Mnaijua maana ya Genocide?
Mnaelewa Loliondo na sheria zake kuhusu uhifadhi?
Mnaropoka sana kwenye keyboard mpaka mnachafua screen kwa mapovu bila uelewa.
Kule Ngorongoro NCAA nako ni kwamba watu wanahama ili kupisha shughuli za uhifadhi.
Tena kwa hiari yao wenyewe
Nyinyi huku mnapayuka ovyo utadhani huwa mbawasaidia chochote kwenye maisha yao ya kila siku.
Kama ni kwa "hiari yao" kelele zingetoka wapi, hivi unayo akili timamu au unajiandikia tu yanayoingia kichwani bila ya tafakari juu yake?Kule Ngorongoro NCAA nako ni kwamba watu wanahama ili kupisha shughuli za uhifadhi.
Tena kwa hiari yao wenyewe
Ccm inahitaji magu mwingine ili tanzania isonge mbeleBajeti ya Tanzania 70% inategemea pato la ndani mkuu!
Usiishi kwa kukariri kila siku.
Na nina imani bila ufisadi wa CCM, tungeweza kuwa na bajeti 100% kwa pato letu wenyewe.
UN ni ya kwenu hiyo ?Mtu akiandika kiingereza basi ni mzungu, akili za chadema hovyo kabisa.
Hata hao maharamia "watafyekwa" as you put it....at all cost!Wakunya lazima tuwafyeke,mko wengi Sana Tanzania in the name of Wamasai wa Tzn,tutawafyeka
Mbona maam yako alieenda kupiga magoti huko marekani na akaenda tena na peter wa royal tour leo hio mnamtukana marekani na Un wakati kutwa mnajipendekeza kwakeUN experts ni akina nani? Experts on what? Watanzania tuachaneni na upumbavu Wa hawa outsiders kuanzia Kenya hadi huko sijui UN.
Hakuna kitu kinaitwa UN experts halafu wakawa na nguvu ya kutia tamko juu ya nchi nyingine. Wakati Lissu akipokea mvua ya risasi hao experts mbona hawakutoa hata neno moja?
Au hicho Kitengo kilikuwa hakijaundwa kipindi kile? Upumbavu tu wa Wakenya. Ecologicaly, anthropogenic activities should stop in Ngorongoro, Hilo Halina ubishi na Rais SSH anajua hili Kwa sababu akiwa Makamu Wa Rais alisimamia Division of Environment at the Office Vice President. She is well informed. Ngorongoro isiwe kichaka cha kuchungia Wakenya. No