UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

Acha ujinga, Maendeleo gani unayojipangia mwenyewe wakati bajeti yako 60% inawategemea wao?? Pesa ya matundu ya choo tu imetoka kwao.

Mkuu ina maana kwenye hii Trillion 40, kumbe Trillion 24 ni za kutegemea wahisani aka mabeberu.

yaani sisi mzigo wetu ni Trilion 16 na katika hizo 80% ni matumizi ya kawaida ya Serikali na inayobaki ndiyo maendeleo

Aisee !!! vita bado ni mbichi.
 
Unaropoka Sana ,weka huo uthibitisho wa bajeti yetu kutegemea 60% kwa Wazungu.
 
Tunawashukuru Sana umoja wa mataifa ikiwezekana kbsa tuwekewe vikwazo ikiwa tutawaondoa wamasai ktk ardh hyo
 
Acha ujinga, Maendeleo gani unayojipangia mwenyewe wakati bajeti yako 60% inawategemea wao?? Pesa ya matundu ya choo tu imetoka kwao.

Mkuu ina maana kwenye hii Trillion 40, kumbe Trillion 24 ni za kutegemea wahisani aka mabeberu.

yaani sisi mzigo wetu ni Trilion 16 na katika hizo 80% ni matumizi ya kawaida ya Serikali na inayobaki ndiyo maendeleo

Aisee !!! vita bado ni mbichi.
Bajeti ya Tanzania 70% inategemea pato la ndani mkuu!
Usiishi kwa kukariri kila siku.

Na nina imani bila ufisadi wa CCM, tungeweza kuwa na bajeti 100% kwa pato letu wenyewe.
 
Punguza mhemuko ndugu UN is UN hata uhuru wa Tanganyika tulienda kuwaomba wao.
uhuru nyerere alibadishana na malkia baadhi ya vitu..
wee hujui tuu kwamba mlima na mabonde mengi mazuri nchi hii ni ya elizabeth..
sisi tunakuna sharubu tuu hapa.
hata hiyo loliondo ni ya kina henry na meghan
 
16 June 2022

Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Marekani leo jijini Dar es Salaam

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu na Balozi Wright wamezungumzia namna nzuri ya kuimarisha ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili katika Sekta za Utalii Teknolojia, Uwekezaji, Afya, Biashara, , Kilimo pamoja na sekta ya usafirishaji.
 
Bajeti ya Tanzania 70% inategemea pato la ndani mkuu!
Usiishi kwa kukariri kila siku.

Na nina imani bila ufisadi wa CCM, tungeweza kuwa na bajeti 100% kwa pato letu wenyewe.
Mkuu ni kweli unayosema? na utekelezaji wa bajeti huwa ni kwa % ngapi? chukulia mifano ya bajeti 3 zilizopita kama kielelezo.
 
16 June 2022

Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Marekani leo jijini Dar es Salaam

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu na Balozi Wright wamezungumzia namna nzuri ya kuimarisha ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili katika Sekta za Utalii Teknolojia, Uwekezaji, Afya, Biashara, , Kilimo pamoja na sekta ya usafirishaji.

wa Urusi tunakutana naye lini ?
 
Ni mgeni gani anaefurahishwa huko Ololosokwan?

Je unao uelewa kwamba kelele za Loliondo sio kuhamishwa bali ni kutengewa eneo rasmi la malisho.

Serikali imewaachia
2500sq km na sasa inaweka Beacon kwenye eneo liliotengwa kwa uhifadhi kama Buffer zone.

Nyinyi huku mmekazana kupiga tararira oooh Loliondo kuna Genocide...

Mnaijua maana ya Genocide?

Mnaelewa Loliondo na sheria zake kuhusu uhifadhi?

Mnaropoka sana kwenye keyboard mpaka mnachafua screen kwa mapovu bila uelewa.

Kule Ngorongoro NCAA nako ni kwamba watu wanahama ili kupisha shughuli za uhifadhi.
Tena kwa hiari yao wenyewe

Nyinyi huku mnapayuka ovyo utadhani huwa mbawasaidia chochote kwenye maisha yao ya kila siku.
Kwa hiyo hapa wewe umejipachika ujuaji,; ulijuaje kama hukuambiwa? Na iweje serikali isiwe na uwezo wa kueleza inachonuia kufanya watu wakakielewa, bali iweke kama siri kwa watu wachache kama wewe, kwa manufaa ya nani?

Huoni hilo pekee ni udhaifu mkubwa kwa seriakali..., au wewe ndiyo muhusika uliyepewa wajibu wa kutoa taarifa sahihi halafu ukaamua kutoa upotoshaji kwa lengo la kuleta sintofahamu katika jamii husika na nchi nzima?

Sasa angalia, hiyo "genocide" imeingiaje hapo, au mambo kama hayo ndiyo yako ndotoni mwako?
Kule Ngorongoro NCAA nako ni kwamba watu wanahama ili kupisha shughuli za uhifadhi.
Tena kwa hiari yao wenyewe
Kama ni kwa "hiari yao" kelele zingetoka wapi, hivi unayo akili timamu au unajiandikia tu yanayoingia kichwani bila ya tafakari juu yake?

'Bottomline', ni hii, endapo kama serikali inafanya mambo yaonekane yana chembechembe za ubabaishaji na usiri usiokuwa na maana yoyote, hapo watu watauliza maswali mengi, hata kama baadhi ya maswali hayo si sahihi.

Serikali yoyote haiwezi kuvuruga wananchi wake kwa lengo la kuweka wageni wafaidike kwa maumivu ya wananchi wake.
Iwe kweli au isiwe kweli, ni wajibu wa serikali kutoa taarifa sahihi juu ya malengo yanayokusudiwa wakati wananchi wanahamishwa.
Zaidi ya yote, ni wajibu wa serikali kuwa wakweli kabisa kwa wananchi wanaohamishwa, na kuwapa taarifa zilizo sahihi bila ya ubabaishaji na uongo mwingi ndani yake.
Hiyo kazi ya kuwaelimisha wananchi kwa miezi minne na kuwahamisha katika wakati huohuo, wewe hapo huoni ubovu wake?
 
Bajeti ya Tanzania 70% inategemea pato la ndani mkuu!
Usiishi kwa kukariri kila siku.

Na nina imani bila ufisadi wa CCM, tungeweza kuwa na bajeti 100% kwa pato letu wenyewe.
Ccm inahitaji magu mwingine ili tanzania isonge mbele
 
Kama sijakosea Mh. Raisi alitumia mgongo wa UNESCO.
...kwamba Eneo la NGORONGORO ni moja ya sehemu ya "Urithi wa Dunia" kwa maana hiyo kuna ulazima wa "kulinda" mazingira yake?? hata ikibidi kuangamiza Jamii?

...Je alitumia tamko hilo kuhalalisha yasiohalilishika?

Umoja wa mataifa ina kigugumizi?
Serikali ya Tanzania ina Unduminakuwili??

Je Wananchi, hususani Jamii ya Wamasai wana haki ya kutaka kujuzwa yanayojiri baada ya wengi wao kuwa na sintofahaamu za Serikali yao na Serikali nyingine Duniani pamoja na Umoja wa Mataifa kwa muonekano wa ukinzani na matamshi/matamko yanayoendelea?

Unawezejae kuepuka taharuki?

Binafsi nitaendelea kuita hili jambo kuwa ni Uangamizaji wa Jamii, kuwa, kwa kimombo....
GENOCIDE.

AMANI Iwafikie

Aluta Continua.
 
UN experts ni akina nani? Experts on what? Watanzania tuachaneni na upumbavu Wa hawa outsiders kuanzia Kenya hadi huko sijui UN.

Hakuna kitu kinaitwa UN experts halafu wakawa na nguvu ya kutia tamko juu ya nchi nyingine. Wakati Lissu akipokea mvua ya risasi hao experts mbona hawakutoa hata neno moja?

Au hicho Kitengo kilikuwa hakijaundwa kipindi kile? Upumbavu tu wa Wakenya. Ecologicaly, anthropogenic activities should stop in Ngorongoro, Hilo Halina ubishi na Rais SSH anajua hili Kwa sababu akiwa Makamu Wa Rais alisimamia Division of Environment at the Office Vice President. She is well informed. Ngorongoro isiwe kichaka cha kuchungia Wakenya. No
Mbona maam yako alieenda kupiga magoti huko marekani na akaenda tena na peter wa royal tour leo hio mnamtukana marekani na Un wakati kutwa mnajipendekeza kwake

Acheni ujuha basi
 
Back
Top Bottom