Salaam, Shalom!!
ALAMA /MUHURI/NEMBO Ina KAZI maalum ya kutambulisha bidhaa au Mali Ili kuonyesha mmiliki halali wa kitu au Mali hiyo, NEMBO, ALAMA au CHAPA, Kwa mifugo Kwa Mfano, zipo kutofautisha mifugo kati ya mmiliki huyu na yule.
Waliosafiri Kwa treni enzi zile, wezi walikuwa wanawawekea alama Abiria ambao imeshindikana kuwaibia Ili Mwizi Mahali kokote uendako akiiona ALAMA hiyo ahakikishe anafanikisha na kukamilisha mission ya kukuibia.
Wachawi Kwa Mfano, wakikutana ndani ya daladala ,ugenini, nje ya KAZI zao, Huwa wanatambuana. Utambuzi wao hutokana na ALAMA za kichawi au CHAPA za kichawi wanazokuwa wamewekewa Ili kujitambulisha na kujitofautisha na watu au mmiliki ya upande wa nuru.
Upande wa pili, Ule wa Nuru pia Wana ALAMA/ CHAPA / NEMBO yao special ambayo ipo kuwatambulisha na kuwatofautosha na milki Ile ya Giza.
ALAMA/ MUHURI/CHAPA/ NEMBO ya Wana wa Mungu/ WATAKATIFU IPO katika mapaji Yao ya uso (UFUNUO 9:4). (Waefeso 4:30)
Kuna watu wanasali, hata Leo wameenda Kanisani, wengine waliofunga mfungo wa kwaresma, wengine ni watumishi makanisani ila hawana NEMBO/ ALAMA/ MUHURI wa Mungu katika paji za nyuso zao.
Wengine wanaojiita wakristo, wachawi wanaingia Kanisani, wachawi wengine ni Hadi wanachaguliwa kuwa viongozi lakini wameshindwa watambua sababu hawana Roho wa Mungu, hawana macho ya Rohoni, hawana ALAMA/UTAMBULISHO/ MUHURI wa Mungu katika paji za nyuso zao,Hii ni huzuni na hatari kubwa.
Mungu anasikitika juu ya watu wa aina hii, na mara zote Yesu kupitia Roho wake mtakatifu huwaombea Kwa kuugua Ili wapate utambulisho huo.
Imeandikwa, Wala sitalifuta Jina lako katika KITABU Cha Uzima,
( Ufunuo 3:5),hiyo Ina maana kuwa kumbe, Jina la mteule au mtakatifu inawezekana kufutwa, kumbe hata nembo/ CHAPA Yako yaweza kufutwa na usijue.
Kuishi maisha ya kuchanganya Giza na Nuru kunamuweka mtu wa Mungu katika hatari ya kupoteza identity yake. Na kamwe huwezi kumiliki MUHURI wa Giza na WA Nuru Kwa wakati mmoja, sharti upoteze mmoja kati ya hizo.
Ombi: Kuanzia Leo, jikague, Muulize Mungu ikiwa unayo ALAMA/ CHAPA/MUHURI huo katika paji lako la uso, Muulize Mungu ikiwa Jina lako limeandikwa katika KITABU Cha Uzima au la.
Ikiwa unapenda kupata ALAMA/ MUHURI/NEMBO/CHAPA ya Mungu katika paji lako la uso, fuatisha Sala ifuatayo:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen
Nawatakia Pasaka njema,
Karibuni🙏