Una chapa/Alama/ utambulisho gani katika paji lako la uso?

Uko sahihi, muhuri huo unawekwa na Roho mtakatifu waefesso 4:30.
(Waefeso 4:30)

Wala msimhuzunishe yule Roho mtakatifu wa Mungu, ambaye Kwa Yeye mlitiwa MUHURI hata siku ya Ukombozi.

Ubarikiwe, nilikuwa nalitafuta andiko hili.
 
Nisipokua nayo hio 666 anaiweka nani
Kuna mamlaka kuu mbili,

1. Nuru 2 .Giza.

Ikiwa huna muhuri/ chapa/ nembo ya Mungu, automatically ni WA Giza Kwa dhambi Ile ya asili hata kama hujajisajili Rasmi kupata hiyo 666.

Watu wa aina Yako shetani huwatia gerezani, yaani unakuwa hai, ila NAFSI Yako inachukuliwa inafungwa, wewe huku unaongozwa na Pepo, NAFSI Yako inatumiwa na wenye mikataba na Giza kupata utajiri na mafanikio, wewe unaachiwa magonjwa, Umaskini nknk,

Unawekwa gerezani Ili ukose muda wa kutubu Ili ukifa, direct unapokelewa kuzimu sababu utakuwa huna alama/ muhuri/ nembo ya Mungu katika paji la uso wako.
 
Una uhakika gani na wewe haupo gerezani unateswa na mapepo
 
Ninaye Roho mtakatifu ndani yangu anipaye HAKIKA.

Na muda wote najitajasa Kwa kufua mavazi yangu Kwa Damu ya Yesu Kristo, ndio Hasa msingi wa neno kujikagua.

Mwombe Mungu akuthibitishie ikiwa u wake au wa Ibilisi.

Amen.
 
Ninaye Roho mtakatifu ndani yangu anipaye HAKIKA.

Na muda wote najitajasa Kwa kufuata mavazi yangu Kwa Damu ya Yesu Kristo, ndio Hasa msingi wa neno kujikagua.

Mwombe Mungu akuthibitishie ikiwa u wake au wa Ibilisi.

Amen.
Una uhakika gani huyo ni Mungu au ni mtazamo wako tu,,,Kama na mie Mungu ninaemuamini keshanipa uhakika
 
Share nasi experience Naby Keita aelewe.
Mtumishi, mi niliona tu katika ule ulimwengu wa Roho nikaona nipo nawekwa alama ya msalaba.

Haya yalianza baada ya kuwa naomba sana na kujitakasa yaani Toba.

Nikaanza kuona vitu mbalimbali, vinavyokuja na huwa vinatokea.

Mambo ya Rohoni huwezi elezea mtu akaelewa...
 
Una uhakika gani huyo ni Mungu au ni mtazamo wako tu,,,Kama na mie Mungu ninaemuamini keshanipa uhakika
Tumwaminio Mungu tunao uhakika sababu tunaye Roho mtakatifu ndani yetu.

Anaongea nasi na sauti yake twaisikia na kuitii, anatufundisha, anatuombea, nknk.

Nawe ikiwa unaye utajua, ikiwa huna pia utajua, maana ikiwa hunae Roho mtakatifu,muda wote utahangaika na Giza na Dunia Badala ya kumtumikia Mungu.

Karibu.
 
Mtumishi, mi niliona tu katika ule ulimwengu wa Roho nikaona nipo nawekwa alama ya msalaba.

Haya yalianza baada ya kuwa naomba sana na kujitakasa yaani Toba.

Nikaanza kuona vitu mbalimbali, vinavyokuja na huwa vinatokea.

Mambo ya Rohoni huwezi elezea mtu akaelewa...
Hukumwona aliyekuweka alama ya msalaba?

Sorry, Nia ni kuwasaidia wasiojua haya wajue kuwa Mungu ni HALISI Si hadithi.
 
Tumwaminio Mungu tunao uhakika sababu tunaye Roho mtakatifu ndani yetu.

Anaongea nasi na sauti yake twaisikia na kuitii, anatufundisha, anatuombea, nknk.

Nawe ikiwa unaye utajua, ikiwa huna pia utajua, maana muda wote utahangaika na Giza na Dunia Badala ya kuitumikia Mungu.

Karibu.
Kwahio hata kwa muislam, budha hata mhindu tayari ana alama ya nuru
 
Hukumwona aliyekuweka alama ya msalaba?

Sorry, Nia ni kuwasaidia wasiojua haya wajue kuwa Mungu ni HALISI Si hadithi.
Nilimuona Mtumishi wa Mungu, na ilivyo ajabu ikaja Tena kutokea kweli katika ulimwengu wa mwili.

Nilipokuwa kanisani kwenye semina akaniwekea alama hiyo kwa mkono.

Nikakumbuka kuwa ndio Ile niliwekwa kiroho...

Mambo ya mwilini yanaanzia Rohoni alafu huja kutokea mwilini.
 
Kwahio hata kwa muislam, budha hata mhindu tayari ana alama ya nuru
Nimekwambia Kuna kingdom kuu mbili pekee.

Nuru& Giza.

Budha na Hindu wote ni WA Giza.

Wa Mungu ni wale waaminio juu ya Yesu kuja katika mwili wa mwanadamu na Kuzaliwa, kufa na kufufuka.

Ni waaminio juu ya Mungu MMOJA na JINA lake ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Ubarikiwe.
 
Hio sasa ni programming yako binafsi.....Mungu ni wa wote na njia za kumfikia zipo nyingi sio moja tu ....shida mnalazimisha njia zenu huo tayari ni ubinafsi kama kutumia tu nguvu za giza
 
Unaweza sema njia moja wapo mkuu...
 
Back
Top Bottom