Una chapa/Alama/ utambulisho gani katika paji lako la uso?

Una chapa/Alama/ utambulisho gani katika paji lako la uso?

Nilimuona Mtumishi wa Mungu, na ilivyo ajabu ikaja Tena kutokea kweli katika ulimwengu wa mwili.

Nilipokuwa kanisani kwenye semina akaniwekea alama hiyo kwa mkono.

Nikakumbuka kuwa ndio Ile niliwekwa kiroho...

Mambo ya mwilini yanaanzia Rohoni alafu huja kutokea mwilini.
Ubarikiwe,

Mungu anapotaka kukuthibitishia ikiwa Mchungaji wako au kiongozi wako ni WA Kweli, huja Kwa sura ya mtumishi huyo Ili kukuthibitishia.

Mimi pia niliona Mchungaji wangu akija kazini na kunipa maelekezo, nikajua kuwa Mungu ananithibitishia kuwa mtumishi huyo ni wake, na alitaka pia ajitambulishe katika KAZI na ofisi yangu kuwa ndiye Mungu anayemiliki KAZI hiyo.

Ikiwa hutojali, mtaje mtumishi huyo.
 
Ubarikiwe,

Mungu anapotaja kukuthibitishia ikiwa Mchungaji wako au kiongozi wako ni WA Kweli, huja Kwa sura ya mtumishi huyo Ili kukuthibitishia.

Mimi pia niliona Mchungaji wangu akija kazini na kunipa maelekezo, nikajua kuwa Mungu ananithibitishia kuwa mtumishi huyo ni wake, na alitaka pia ajitambukishe katika KAZI na ofisi yangu kuwa ndiye Mungu anayemiliki KAZI hiyo.

Ikiwa hutojali, mtaje mtumishi huyo.
Nikiomba pia Toba na Rehema huyo mtumishi huja na kuniambia umetakaswa...

Wakati mwingine hinitetea katika vita hata kunirejeshea nilivyopoteza...

Namuogopa Mungu, naomba anirehemu na kunitakasa nisije nikampoteza.
 
Hio sasa ni programming yako binafsi.....Mungu ni wa wote na njia za kumfikia zipo nyingi sio moja tu ....shida mnalazimisha njia zenu huo tayari ni ubinafsi kama kutumia tu nguvu za giza
Ni Kweli,

Wapo waliokutana na Mungu wa Kweli wakiwa katika kuroga kwao,

Huko huko katika tunguli, wakakutana naye na akawaokoa,

Kiukweli usiingie katika Ibada ya sanamu, ukitegemea utakutana na Mungu huko ilhali Mimi Leo nimekuhubiria njia ya HAKI.

Muda wa KUISHI duniani ni Mchache, huizui hazina ya siku zako.

Kuokoka ni sasa.
 
Nina maswali mengi sana ya kiroho Mtumishi ila wankunijibu simuoni.

Maswali haya ni ya kiroho.

Yananitesa sana.
 
Unaweza sema njia moja wapo mkuu...
(John 14:16)

I'm the way, truth and life.

Yesu ndiye njia pekee, akimtaka mtu aliye gizani humfuata na kumwambia aokoke, Sheikh Omar ni MMOJA wa mashuhuda wazuri,

Alikuwa mganga na sheikh maarufu mchawi wa kitumia kitabu na kisomo.

Alikutana na YESU akambadilisha.
 
Nina maswali mengi sana ya kiroho Mtumishi ila wankunijibu simuoni.

Maswali haya ni ya kiroho.

Yananitesa sana.
Uliza, tukishinda tuombe majibu Kutoka kwake.

Lakini pia kumbuka Mungu Huwa anajibu, ukimuuliza, Sema sie WANADAMU Huwa bussy, Yesu hupenda tuhojiane naye kama baba na mwana.
 
Uliza, tukishinda tuombe majibu Kutoka kwake.

Lakini pia kumbuka Mungu Huwa anajibu, ukimuuliza, Sema sie WANADAMU Huwa bussy, Yesu hupenda tuhojiane naye kama baba na mwana.
Ni maswali yangu binafsi ambayo yananihusu Mimi...

Nimeoneshwa mimi na uzao wangu yaani hadi majina yao nayajua...

Ninajua Kila linaloendelea kwa my family, nikama nawachora...

Kuna kanisa Fulani nasali Sasa, najua kinachoendelea pale...

Watu wangu wa karibu najua yanayowapata...

Kuna ambavyo naona kuhusu nchi..

Mi naomba ila sio sana, Imani yangu ni kubwa sana pia ni mtu wa Toba sana.

Alafu ukiniona Sasa, ni mtu wa kawaida sana, mwanamke mmoja tu wa kawaida.

Mi ni nani jamani...

Siwezi weka hapa...
 
Ni Kweli,

Wapo waliokutana na Mungu wa Kweli wakiwa katika kuroga kwao,

Huko huko katika tunguli, wakakutana naye na akawaokoa,

Kiukweli usiingie katika Ibada ya sanamu, ukitegemea utakutana na Mungu huko ilhali Mimi Leo nimekuhubiria njia ya HAKI.

Muda wa KUISHI duniani ni Mchache, huizui hazina ya siku zako.

Kuokoka ni sasa.
Kikubwa ni kuzielewa sheria za uumbaji za ulimwengu......(Universal laws)......ukishazielewa dini yeyote utakayokua haitajalisha utakua kwenye mpango sahihi
 
Salaam, Shalom!!

Alama, Muhuri, au nembo Ina KAZI maalum ya kutambulisha bidhaa au Mali Ili kuonyesha mmiliki halali wa kitu au Mali hiyo, Nembo ,alama au chapa, Kwa mifugo Kwa Mfano, zipo kutofautisha mifugo kati ya mmiliki huyu na yule.

Waliosafiri Kwa treni enzi zile, wezi walikuwa wanawawekea alama Abiria ambao imeshindikana kuwaibia Ili Mwizi Mahali kokote uendako akiiona alama hiyo ahakikishe anafanikisha na kukamilisha mission ya kukuibia.

Wachawi Kwa Mfano, wakikutana ndani ya daladala ,ugenini, nje ya KAZI zao, Huwa wanatambuana. Utambuzi wao hutokana na alama za kichawi au chapa za kichawi wanazokuwa wamewekewa Ili kujitambulisha na kujitofautisha na watu au mmiliki ya upande wa nuru.

Upande wa pili, Ule wa Nuru pia Wana Alama/ chapa / nembo yao special ambayo ipo kuwatambulisha na kuwatofautosha na milki Ile ya Giza.

Alama/ Muhuri/chapa/ nembo ya Wana wa Mungu/ WATAKATIFU IPO katika mapaji Yao ya uso (UFUNUO 9:4). (Waefeso 4:30)

Kuna watu wanasali, hata Leo wameenda Kanisani, wengine waliofunga mfungo wa kwaresma, wengine ni watumishi makanisani ila hawana Nembo/ Alama/ muhuri wa Mungu katika paji za nyuso zao. Hii ni huzuni na hatari kubwa.

Mungu anasikitika juu ya watu wa aina hii, na mara zote Yesu kupitia Roho wake mtakatifu huwaombea Kwa kuugua Ili wapate utambulisho huo.

Imeandikwa, Wala sitalifuta Jina lako katika KITABU Cha Uzima,
( Ufunuo 3:5),hiyo Ina maana kuwa kumbe, Jina la mteule au mtakatifu inawezekana kufutwa, kumbe hata nembo/ chapa Yako yaweza kufutwa na usijue.

Kuishi maisha ya kuchanganya Giza na Nuru kunamuweka mtu wa Mungu katika hatari ya kupoteza identity yake. Na kamwe huwezi kumiliki MUHURI wa Giza na WA Nuru Kwa wakati mmoja, sharti upoteze mmoja kati ya hizo.

Ombi: Kuanzia Leo, jikague, Muulize Mungu ikiwa unayo alama hiyo katika paji lako la uso, Muulize Mungu ikiwa Jina lako limeandikwa katika KITABU Cha Uzima au la.

Ikiwa unapenda kupata alama ya Mungu katika paji lako la uso, fuatisha Sala ifuatayo:

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen

Nawatakia Pasaka njema,

Karibuni🙏
binafsi tukikutana tu na ukanitazama sura yangu, hukosi kunisalimia Bwana Asifiwe, shalom, Kristo ama Tumsifu Yesu Kristo 🐒

iko hivyo yaan automatically, na ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu 🐒
 
Kikubwa ni kuzielewa sheria za uumbaji za ulimwengu......(Universal laws)......ukishazielewa dini yeyote utakayokua haitajalisha utakua kwenye mpango sahihi
Njia ni Moja tu,

Yesu Kristo.

DINI zote zinawapeleka watu kubaya.

Yesu hakuna duniani kuanzisha dini, Bali Imani.

Hakuna mbingu ya wakatoliki, waislamu, wabudha, Hindu, Tag au Anglican,

Mbingu ni Moja, wanaingia WATAKATIFU Walio na nembo/ Alama/ Muhuri wa Mungu katika paji zao za uso, walioandikwa Majina Yao kitabu Cha Uzima.

Amen
 
Kristo ni mwanga.....na Mwanga unaweza kuonekana ukiwa pande yoyote kikubwa uwe kwenye hizo sheria
 
Ikiwa huna alama ya Mungu katika Paji lako la uso, jua u wa Giza, stuka amua ukae upande sahihi wa Nuru.

Amen
Mungu huyo wakati anaumba mtu asiye na alama yake, alishindwaje kumwekea alama yake?

Au alisahau?

Au huyo mtu asiye na alama ya Mungu katika paji lake la uso alijiumba?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ni Kweli, MAUTI na Uzima, vimo ndani ya uamuzi wako,

Mungu ni Nuru, na kawaida ya Nuru haijawahi kushindwa na Giza au kujua ya Gizani, ila Giza Yako mengi ya Nuru haijui.

Mchawi mwenye alama ya 666 kamwe hawezi ingia Mbinguni Hadi alama hiyo ifutwe na apewe chapa ya Mungu juu ya paji lake usoni.

Kukosa alama ya Mungu katika paji la uso, automatically uko gizani hata kama hujasajili Rasmi na kupigwa chapa zao.

Karibu katika wokovu, uwe mwana wa Mungu aliye hai.

Amen
Kama mungu ndiye muumbaji wa kila binadamu halafu tena mungu huyohuyo anasahau kuwawekea kila binadamu alama yake kwenye paji la uso, Automatically Mungu huyo Hayupo.

Na yote unayo eleza hapa ni stori uchwara zisizo na kichwa wala miguu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwann utumie njia hiyo ndefu hivyo. Shetani anaweza kukuzima Ukiwa huko gizani Ili usipate nafasi kufikia Mungu wa Nuru.

Njia nikupayo ni so direct.
Hata huko pia inaweza kua ni njia ndefu kwa wengine maana huko pia sio wote wasafi,,,,wengi huko wanazuga watu wa Mungu ila hata hizo nguvu za miujiza wanaboost kwa sangoma,,,na haya makanisa ya sasa mengi yana mambo kibao yakishetani hasa ibada za kubeba nguvu za waumini (energy harvesting )na wanafanya sana hizi sexual rituals
 
binafsi tukikutana tu na ukanitazama sura yangu, hukosi kunisalimia Bwana Asifiwe, shalom, Kristo ama Tumsifu Yesu Kristo 🐒

iko hivyo yaan automatically, na ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu 🐒
Una HAKIKA ukikutana na mtu aliye na nguvu hasi hawezi kukutizama usoni ?
 
Nimekwambia Kuna kingdom kuu mbili pekee.

Nuru& Giza.

Budha na Hindu wote ni WA Giza.

Wa Mungu ni wale waaminio juu ya Yesu kuja katika mwili wa mwanadamu na Kuzaliwa, kufa na kufufuka.

Ni waaminio juu ya Mungu MMOJA na JINA lake ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Ubarikiwe.
Unathibitishaje kwamba wa wabudha na wahindu si watu wa Mungu?

Au unafosi mafikirio yako na mafundisho yako uchwara ya dini yakubalike na kila mtu?

Mbudha na Mhindu wakikwambia wakristo ni watu wa giza utazingatia hilo?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom