- Thread starter
- #61
Wanamwona aliye ndani, aliye mkuu sana kuliko mfalme wao.wengi hutizama chini na wanakua kama wanaona aibu as if nimeona siri zilizomo ndani yao, lakini pia hubadili uelekeo kwa haraka au kutokaa kabisa karibu nami au kurejea kunitazama kiwizi wizi š
Wengine Huwa wanajikuta wanaamkia vijana WADOGO bila kupenda, kumbe ni HOFU ya kilicho ndani ya WATAKATIFU.
Ubarikiwe, Amen