Una chapa/Alama/ utambulisho gani katika paji lako la uso?

Ubarikiwe,

Mungu anapotaka kukuthibitishia ikiwa Mchungaji wako au kiongozi wako ni WA Kweli, huja Kwa sura ya mtumishi huyo Ili kukuthibitishia.

Mimi pia niliona Mchungaji wangu akija kazini na kunipa maelekezo, nikajua kuwa Mungu ananithibitishia kuwa mtumishi huyo ni wake, na alitaka pia ajitambulishe katika KAZI na ofisi yangu kuwa ndiye Mungu anayemiliki KAZI hiyo.

Ikiwa hutojali, mtaje mtumishi huyo.
 
Nikiomba pia Toba na Rehema huyo mtumishi huja na kuniambia umetakaswa...

Wakati mwingine hinitetea katika vita hata kunirejeshea nilivyopoteza...

Namuogopa Mungu, naomba anirehemu na kunitakasa nisije nikampoteza.
 
Hio sasa ni programming yako binafsi.....Mungu ni wa wote na njia za kumfikia zipo nyingi sio moja tu ....shida mnalazimisha njia zenu huo tayari ni ubinafsi kama kutumia tu nguvu za giza
Ni Kweli,

Wapo waliokutana na Mungu wa Kweli wakiwa katika kuroga kwao,

Huko huko katika tunguli, wakakutana naye na akawaokoa,

Kiukweli usiingie katika Ibada ya sanamu, ukitegemea utakutana na Mungu huko ilhali Mimi Leo nimekuhubiria njia ya HAKI.

Muda wa KUISHI duniani ni Mchache, huizui hazina ya siku zako.

Kuokoka ni sasa.
 
Nina maswali mengi sana ya kiroho Mtumishi ila wankunijibu simuoni.

Maswali haya ni ya kiroho.

Yananitesa sana.
 
Unaweza sema njia moja wapo mkuu...
(John 14:16)

I'm the way, truth and life.

Yesu ndiye njia pekee, akimtaka mtu aliye gizani humfuata na kumwambia aokoke, Sheikh Omar ni MMOJA wa mashuhuda wazuri,

Alikuwa mganga na sheikh maarufu mchawi wa kitumia kitabu na kisomo.

Alikutana na YESU akambadilisha.
 
Nina maswali mengi sana ya kiroho Mtumishi ila wankunijibu simuoni.

Maswali haya ni ya kiroho.

Yananitesa sana.
Uliza, tukishinda tuombe majibu Kutoka kwake.

Lakini pia kumbuka Mungu Huwa anajibu, ukimuuliza, Sema sie WANADAMU Huwa bussy, Yesu hupenda tuhojiane naye kama baba na mwana.
 
Uliza, tukishinda tuombe majibu Kutoka kwake.

Lakini pia kumbuka Mungu Huwa anajibu, ukimuuliza, Sema sie WANADAMU Huwa bussy, Yesu hupenda tuhojiane naye kama baba na mwana.
Ni maswali yangu binafsi ambayo yananihusu Mimi...

Nimeoneshwa mimi na uzao wangu yaani hadi majina yao nayajua...

Ninajua Kila linaloendelea kwa my family, nikama nawachora...

Kuna kanisa Fulani nasali Sasa, najua kinachoendelea pale...

Watu wangu wa karibu najua yanayowapata...

Kuna ambavyo naona kuhusu nchi..

Mi naomba ila sio sana, Imani yangu ni kubwa sana pia ni mtu wa Toba sana.

Alafu ukiniona Sasa, ni mtu wa kawaida sana, mwanamke mmoja tu wa kawaida.

Mi ni nani jamani...

Siwezi weka hapa...
 
Kikubwa ni kuzielewa sheria za uumbaji za ulimwengu......(Universal laws)......ukishazielewa dini yeyote utakayokua haitajalisha utakua kwenye mpango sahihi
 
binafsi tukikutana tu na ukanitazama sura yangu, hukosi kunisalimia Bwana Asifiwe, shalom, Kristo ama Tumsifu Yesu Kristo πŸ’

iko hivyo yaan automatically, na ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu πŸ’
 
Kikubwa ni kuzielewa sheria za uumbaji za ulimwengu......(Universal laws)......ukishazielewa dini yeyote utakayokua haitajalisha utakua kwenye mpango sahihi
Njia ni Moja tu,

Yesu Kristo.

DINI zote zinawapeleka watu kubaya.

Yesu hakuna duniani kuanzisha dini, Bali Imani.

Hakuna mbingu ya wakatoliki, waislamu, wabudha, Hindu, Tag au Anglican,

Mbingu ni Moja, wanaingia WATAKATIFU Walio na nembo/ Alama/ Muhuri wa Mungu katika paji zao za uso, walioandikwa Majina Yao kitabu Cha Uzima.

Amen
 
Kristo ni mwanga.....na Mwanga unaweza kuonekana ukiwa pande yoyote kikubwa uwe kwenye hizo sheria
 
Ikiwa huna alama ya Mungu katika Paji lako la uso, jua u wa Giza, stuka amua ukae upande sahihi wa Nuru.

Amen
Mungu huyo wakati anaumba mtu asiye na alama yake, alishindwaje kumwekea alama yake?

Au alisahau?

Au huyo mtu asiye na alama ya Mungu katika paji lake la uso alijiumba?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kama mungu ndiye muumbaji wa kila binadamu halafu tena mungu huyohuyo anasahau kuwawekea kila binadamu alama yake kwenye paji la uso, Automatically Mungu huyo Hayupo.

Na yote unayo eleza hapa ni stori uchwara zisizo na kichwa wala miguu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kristo ni mwanga.....na Mwanga unaweza kuonekana ukiwa pande yoyote kikubwa uwe kwenye hizo sheria
Kwann utumie njia hiyo ndefu hivyo. Shetani anaweza kukuzima Ukiwa huko gizani Ili usipate nafasi kufikia Mungu wa Nuru.

Njia nikupayo ni so direct.
 
Kwann utumie njia hiyo ndefu hivyo. Shetani anaweza kukuzima Ukiwa huko gizani Ili usipate nafasi kufikia Mungu wa Nuru.

Njia nikupayo ni so direct.
Hata huko pia inaweza kua ni njia ndefu kwa wengine maana huko pia sio wote wasafi,,,,wengi huko wanazuga watu wa Mungu ila hata hizo nguvu za miujiza wanaboost kwa sangoma,,,na haya makanisa ya sasa mengi yana mambo kibao yakishetani hasa ibada za kubeba nguvu za waumini (energy harvesting )na wanafanya sana hizi sexual rituals
 
binafsi tukikutana tu na ukanitazama sura yangu, hukosi kunisalimia Bwana Asifiwe, shalom, Kristo ama Tumsifu Yesu Kristo πŸ’

iko hivyo yaan automatically, na ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu πŸ’
Una HAKIKA ukikutana na mtu aliye na nguvu hasi hawezi kukutizama usoni ?
 
Unathibitishaje kwamba wa wabudha na wahindu si watu wa Mungu?

Au unafosi mafikirio yako na mafundisho yako uchwara ya dini yakubalike na kila mtu?

Mbudha na Mhindu wakikwambia wakristo ni watu wa giza utazingatia hilo?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…