Namaanisha mwenye PC utamlipa au akufanyie bureNi commission based mkuu
Hii ni kazi ambayo mimi nimemuomba huyu mwenye ofisi wala hajui mambo hayo,kwahiyo mpaka aone impact
Mbona kuna makampuni huwa yanakodisha? Jaribu ku Google unaweza kupataMkuu kama una PC tuzungumze tuone italavyokua mwisho wa mwezi hatutashindwana.
Asante
Mkuu wacheki ndugu zako, alienayo akuazime.... Huku sio rahisiWakuu naombeni msaada wenu jumamosi niaze kazi, mwezi mmoja tu nitakua stable
Meta ads kwenye PC ina tools nyingi tofauti na simu