Dogo baiskel ya mtoto,atengeneze mwanamke Uko Sawa kweli weweNdio maana wanasema nyumba ni yamwanamke.
Wanawake ndio wazuri wa vitu vidogo vidogo.
Sisi wanaume ni wapuuziaji
Huyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taa😀😀 kwa wewe baisikieli mkeo angekuwa anakusaidia siku ana muda anatoka nayo mdogo mdogo kwa fundi anakurekebishia, kuna mambo mengine mwanaume akiwa ana play part yake vizuri ndani wanawake nao inabidi tujifunze tu kuyamaliza majumbani mwetu wapo vijana/watu tunaowatumia na sometimes tunawaamini mimi huwa nafanya kumsaidia mwenzangu ntamuita flani atakuja aturekebishie aende zake baba akirudi anakuta mzigo wa mambo mengine yamepungua.......au nakosea KERATO MOMBAA Bantu Lady kwani ni vibayamiezi sasa toka mke wake amwombe kubadilisha bulb nyumbani na mpaka sasa haijabadilishwa.
Kama mwanamke anasimamia mashamba na mifugo atashindwa jambo dogo hilo si anamuita fundi chap anarekebisha anaenda sio lazima mwanamke atumie nguvu au ujuzi wakeDogo baiskel ya mtoto,atengeneze mwanamke Uko Sawa kweli wewe
Mlango atengengeze mwanamke😂😂
Banda la kuku atengeneze mwanamke,umeambiwa matengenezo madogo madogo ya ngumbani.
Huyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taa
Nafikiri hujaelewa somo, mtoa maada anasema kwamba matengenezo madogo madogo mfano ,baiskel ya kijana,Mlango Au kitasa binafsi hapendi aite fundi.Mimi pia huwa nafanya hivyo,Sijui kupaka rangi geti au matengenezo ya banda la kuku huwa nafanya mwenyewe.Kama mwanamke anasimamia mashamba na mifugo atashindwa jambo dogo hilo si anamuita fundi chap anarekebisha anaenda sio lazima mwanamke atumie nguvu au ujuzi wake
Olaghamba bhuyaa monawaito!Huyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taa kwa wewe baisikieli mkeo angekuwa anakusaidia siku ana muda anatoka nayo mdogo mdogo kwa fundi anakurekebishia, kuna mambo mengine mwanaume akiwa ana play part yake vizuri ndani wanawake nao inabidi tujifunze tu kuyamaliza majumbani mwetu wapo vijana/watu tunaowatumia na sometimes tunawaamini mimi huwa nafanya kumsaidia mwenzangu ntamuita flani atakuja aturekebishie aende zake baba akirudi anakuta mzigo wa mambo mengine yamepungua.......au nakosea KERATO MOMBAA Bantu Lady kwani ni vibaya
Mara nyingi kazi za kumalza wenyewe ndani siyo lazima..Kwani mbobhebhe mura weito KERATO MOMBAA
Dogo baiskel ya mtoto,atengeneze mwanamke Uko Sawa kweli wewe
Mlango atengengeze mwanamke😂😂
Banda la kuku atengeneze mwanamke,umeambiwa matengenezo madogo madogo ya ngumbani.
Aahh kuna wengine hata hawajaishi hayo maisha ila tu ameyakuta ya kushtukiza ana msaidizi ndani hadi kufua nguo za mumewe dada afue, eti mtoto kajisaidia utasikia dada inamaana humuoni mtoto akah akah yaani nizae afu nije kushikisha mtoto wa mtu kinyesi cha mwanangu kama nipo dada wa kazi hanifanyii jambo langu mpaka isawabho anauliza sasa dada wa kazi unatakaga wa niniMara nyingi kazi za kumalza wenyewe ndani siyo lazima..
Ukiona mke zezeta kama huyo, mara nying ni wale husema "dadaaa nivalishe sokisi" wakiwa wadogo!
Una akili hadi unapitiliza mona waitoAahh kuna wengine hata hawajaishi hayo maisha ila tu ameyakuta ya kushtukiza ana msaidizi ndani hadi kufua nguo za mumewe dada afue, eti mtoto kajisaidia utasikia dada inamaana humuoni mtoto akah akah yaani nizae afu nije kushikisha mtoto wa mtu kinyesi cha mwanangu kama nipo dada wa kazi hanifanyii jambo langu mpaka isawabho anauliza sasa dada wa kazi unatakaga wa nini
Kuna kitu au elimu inaitwa DIY (Yaani "Do It Yourself) hii wanaitumia sana wenzetu huko majuu kifupi unaweza kusema ni kama elimu binafsi ya VETA unayoamua kujifunza mtu alafu ikusaidie wewe mwenyewe kufix changamoto zako mwenyewe bila hata kuita fundi au kupeleka kwa fundi, ukiingia mtandaoni huko ukajifunza utatoka na hizi elimu kama zote, huwezi nambia eti umenunua king'amuzi na dish au antenna tu unaita fundi akufungie na unamlipa 20k (karibu kilo 2 za nyama hapo [emoji23]) wakati unaweza kuset mwenyewe tu ndani ya nusu saa na ukakaa na remote yako ukaanza kuenjoy....Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa?
Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza.
Kama ni baiskeli nitaifungua nikipata udhuru nitaiacha hapo na inaweza kuwa mwisho wake kuishika. Nitarudi kuimalizia iwapo mtoto atanisumbua au nitakapohitaji kutumia hicho kifaa.
Procrastination inanisumbua saana hasa kwenye masuala ya kazi za mikono nyumbani. Ni mimi tu au na nyie inawatokea? Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ni miezi sasa toka mke wake amwombe kubadilisha bulb nyumbani na mpaka sasa haijabadilishwa.
Una deal vipi na haya masuala?ni uvivu au ni kawaida!
MFANO mi SIO fundi ILA Kuna mambo hua nafanya mwenyewe kuziba sehemu zilizo chimbuka ukutani au sakafu wakati mwingine kupiga sakafu YOTE. Kupaka rangi nkBaadhi ya matengenezo ingia mtamboni mwenyewe SI KILA KITU fundiiii
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow