MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mpaka kutoa kutoa adhabu kwa watoto unahesabiaDaaah, natafuta hela, nalipa bili, nanunua mazaga, nakata ukoka na miti na kupunguza maua, naua nyoka na wadudu wote, napuliza dawa kwenye mimea na bustan ya mboga, natoa adhabu kwa watoto, ufundi umeme, bomba na mapazia kutoa na kurudisha kila baada ya wiki 2, naosha gari na kazi ya ulinzi hata nikirudi asubuhi, yote haya yanafanyika bila kuacha kiporo
Unaringa sana wewe jamaaMFANO mi SIO fundi ILA Kuna mambo hua nafanya mwenyewe kuziba sehemu zilizo chimbuka ukutani au sakafu wakati mwingine kupiga sakafu YOTE. Kupaka rangi nk
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Bado unaishi kwenu kumbe,Haya endelea,Umeambiwa matengenezo madogo madogo.We naye kichwa panzi.
Kwani mwanamke ukiambia kajenga nyumba akili yako itafikiri yeye ndiye kakoroga zege?
Alafu kwani wanawake hawawezi kufanya hivyo?
Hspo sasa pa kijana ninayemtumaga ndio akina baba tunapaswa kuwa nako makiniHuyo mkewe naye kazubaa anashindwaje kupanda juu ya kiti akamate grill dirishani aning'inie aweke taaππ kwa wewe baisikieli mkeo angekuwa anakusaidia siku ana muda anatoka nayo mdogo mdogo kwa fundi anakurekebishia, kuna mambo mengine mwanaume akiwa ana play part yake vizuri ndani wanawake nao inabidi tujifunze tu kuyamaliza majumbani mwetu wapo vijana/watu tunaowatumia na sometimes tunawaamini mimi huwa nafanya kumsaidia mwenzangu ntamuita flani atakuja aturekebishie aende zake baba akirudi anakuta mzigo wa mambo mengine yamepungua.......au nakosea KERATO MOMBAA Bantu Lady kwani ni vibaya
NArINGIA Nini mkuu ?Unaringa sana wewe jamaa
Bro Alex on da beats yoowNArINGIA Nini mkuu ?
Kwishaaa
Bro Alex on da beats yoow
Hahahahaaa mkuu HIyo ni brand ya KAZI YANGU naplan NIFUNGUE lebo ya mziki WA AI natunga nyimbo na video HII ni brand mkuu get ready soon mkuu π π π πBro Alex on da beats yoow
Unaringa sana na huu msemo wako nauonea wivu kishenzi ,alex on da beats yoow .
Haina noma kaka Alex on da beats yoowHahahahaaa mkuu HIyo ni brand ya KAZI YANGU naplan NIFUNGUE lebo ya mziki WA AI natunga nyimbo na video HII ni brand mkuu get ready soon mkuu π π π π
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoooow
Pamoja SANA let us support our mother land entertainment industry mkuuuuuπππ₯π₯πΉπΏHaina noma kaka Alex on da beats yoow