Una-deal vipi na mwenza mwenye high libido?

Hahahahahh hatariiii
 
Hahahah

Wahurumie mkuu
 
Jipambanhe mwanawane...huyo ni kokote twende tuu
 
CHAI
 
Uwe makini utafia kifuani pake
 
Kwenye circle yangu nilikutana nae mmoja tu and she was so sweet yaan ile sweet sex
Kumbe mi mwenyewe niko hivyo sasa tukawa kama kumbi kumbi
Yaani ilileta shida kwa watu wengine maana tuligandana mno..
Kuna uchizi na wivu mkubwa kwa watu wa aina hiyo wakikutana..
Nilikaa nae miezi minne tu lakini tulisex like tumekaa miaka kumi..
Namtafuta mwingine wa vile simpati tena..
Japo yule bado yupo hai lakini sitaki kumrudia kabisa..
Najua unajiuliza why sitaki kumrudia na kwanini tuliachana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…