Umeambiwa ni Me? Je km jirani ni Ke?Wewe ni me ?
Yaani dume jenzio linakuja kwenye himaya yako, linamshurutisha mkeo alifate, linamkazia kabisa na wewe uko ndani unasikiliza conversation zao bila uamuzi ? Ety ukachungulia dirishani !
Mmekuja kuwaje aisee
😂😂😂😂Kwa jicho langu la kikachero, mkeo ana madeni ya vikoba, au kausha damu, sio ishu ya kimalaya hio.
Soma tena vizuri ! Hta kama ni ke, bado kuna namna heshima haijatumika, na huyu me hajatumia mamlaka yake kama baba !Umeambiwa ni Me? Je km jirani ni Ke?
Km kuna kitu wf hapendi na time hiyo hna basi ni vikobaKwa jicho langu la kikachero, mkeo ana madeni ya vikoba, au kausha damu, sio ishu ya kimalaya hio.
Mpaka muda huu hajakwambia wale watu ni kina nani? Nauliza tu sababu jirani atakua ameshamwambia alichomuitiaUshauri mzuri japo sijawahi kumuhisi vbaya hta mara moja pia siachi kuzungumza nae inapotokea nafasi kukumbushna tu kila mmoja kufahamu mipaka yake
Kanuni ya Kausha damu na vicobba vya kiswahili ni KUDAI MADENI KWA UDHALILISHAJI! Kitendo cha mume kuwepo nyumbani na wanataka hela yao ilikuwa ndo muda mzuri wa kupachafua ili mwenzi akasirike alipe au achimbe mkwara deni lilipwe!Kwa jicho langu la kikachero, mkeo ana madeni ya vikoba, au kausha damu, sio ishu ya kimalaya hio.
NImemuliza jirani hakuja kukuambia wale ni kina nani? Jibu hajaja kumuambiaMpaka muda huu hajakwambia wale watu ni kina nani? Nauliza tu sababu jirani atakua ameshamwambia alichomuitia
NIMESHAANGAA!Wewe ni me ?
Yaani dume jenzio linakuja kwenye himaya yako, linamshurutisha mkeo alifate, linamkazia kabisa na wewe uko ndani unasikiliza conversation zao bila uamuzi ? Ety ukachungulia dirishani !
Mmekuja kuwaje aisee
Kweli kaka ukilewa tukuache lakini leo umeongea ukiwa timamu saaana 🫡Kaa vizuri na jirani yako utajua kati ya wale washkaji watatu ni yupi anamfikisha mke wako kileleni
Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea kusisitiza wf aende mara moja.
Ila wife alikaza kwa kumsisitizia huko siwezi kuja.
Mwisho jirani akaja mpka home na kuendelea kumsisitizia wf twende mara moja ila bado wf akakataa na kumuuliza kwani wanashida gn? Wewe twende ukawasikilize.....
Baada ya kuona ule msisitizo sio wakawaida ikanibidi nichungulie dirishani.
Kwa mbali kuna washikaji km watatu hivi ndio walikuwa na yule jirani yetu na wao ndio walikuwa wanamtumia kumuita wf pale akawasikilize na wf ni km alikuwa ananisikilizia mimi km nitamruhusu.
Ila binafsi baada ya kuona kuna msisitizo usio na maelezo ya wazi,nikamzuia wf asiende na kumuambia amuambie jirani awaambie wale wenye uhitaji wafike nyumbni km hawana ndhamira mbaya lkn jamaa hawakuja
Nilichoamua baada ya hili tukio ni kumuibukia jirani kumuonya kuheshimu familia za watu na kujua mipaka yake, kw mke wng sijaona cha kuzungumza nae zaidi sababu hakuomba hta ruhusa ya kutaka kwenda. Je! Kwa uamizi huu niko sahihi?
Unafikiri hawajawasiliana? Hapo tayari shetani ameshaanza kupanda miiba kwenye familia yakoNImemuliza jirani hakuja kukuambia wale ni kina nani? Jibu hajaja kumuambia
Hapo ungezusha kesi ili kufahamu dhamira Yao huyo mwalimu na mabaria wake hapo unaibwa sio utaniJana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea kusisitiza wf aende mara moja.
Ila wife alikaza kwa kumsisitizia huko siwezi kuja.
Mwisho jirani akaja mpka home na kuendelea kumsisitizia wf twende mara moja ila bado wf akakataa na kumuuliza kwani wanashida gn? Wewe twende ukawasikilize.....
Baada ya kuona ule msisitizo sio wakawaida ikanibidi nichungulie dirishani.
Kwa mbali kuna washikaji km watatu hivi ndio walikuwa na yule jirani yetu na wao ndio walikuwa wanamtumia kumuita wf pale akawasikilize na wf ni km alikuwa ananisikilizia mimi km nitamruhusu.
Ila binafsi baada ya kuona kuna msisitizo usio na maelezo ya wazi,nikamzuia wf asiende na kumuambia amuambie jirani awaambie wale wenye uhitaji wafike nyumbni km hawana ndhamira mbaya lkn jamaa hawakuja
Nilichoamua baada ya hili tukio ni kumuibukia jirani kumuonya kuheshimu familia za watu na kujua mipaka yake, kw mke wng sijaona cha kuzungumza nae zaidi sababu hakuomba hta ruhusa ya kutaka kwenda. Je! Kwa uamizi huu niko sahihi?
InawezekanaUnafikiri hawajawasiliana? Hapo tayari shetani ameshaanza kupanda miiba kwenye familia yako
InawezekanaHapo ungezusha kesi ili kufahamu dhamira Yao huyo mwalimu na mabaria wake hapo unaibwa sio utani
We unapenda ugomvi, watu wamekuja kumuulizia mtu we unatoka na panga 🤣Ungemshika mkono muongozane na panga mkononi, atakaye kimbia una unganae marathon