Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

Mipaka ipi kwa mwenzake anaetoka asubuh na kurudi jioni? Vaa viatu vya mwamba ndio utajua ugumu anaoupata
 
Jirani aliyekuwa akimuita Mrs wako ni Ke au Me?

Huyo jirani alijua upo home muda huo?

Yawezekana mkeo aligoma sababu ya uwepo wako ila anafahamu mission nzima.
Jirani ni ke na alijua km mimi nipo
Yah kwa hili la wf kugoma nina uhakika kwasababu nilikuwepo
 
Ungetoka ukaenda na wife.
 
Kanuni ya Kausha damu na vicobba vya kiswahili ni KUDAI MADENI KWA UDHALILISHAJI! Kitendo cha mume kuwepo nyumbani na wanataka hela yao ilikuwa ndo muda mzuri wa kupachafua ili mwenzi akasirike alipe au achimbe mkwara deni lilipwe!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soma tena vizuri ! Hta kama ni ke, bado kuna namna heshima haijatumika, na huyu me hajatumia mamlaka yake kama baba !
Ndio nataka mawazo yko km baba nilitakiwa nisimame wapi
 
Em sema kweli? Em apia?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili hta kiapo nachukua kwajili yake mambo za vikoba hizi hta angekuwa msiri kiasi gn lkn ingejulikana tu
 
Wewe ni me ?

Yaani dume jenzio linakuja kwenye himaya yako, linamshurutisha mkeo alifate, linamkazia kabisa na wewe uko ndani unasikiliza conversation zao bila uamuzi ? Ety ukachungulia dirishani !

Mmekuja kuwaje aisee
Umesoma vizuri ujumbe wangu mkuu
 
Mbona hujambana Wife akuambie nini kinaendelea maana lazima atakua anawajua maana limsisitiza jirani waambie waje hapo ni lazima anawajua so kuna kitu hapo hakiko sawa
 
Umefanya vizuri kumuonya huyo jirani, japo ungemchimba biti zaidi. Angekuambia waliokuja hapo ni akina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…