Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
- Thread starter
-
- #61
Hili la kumuambia waje ni mimi nimemuambia wf amuambie jirani yake awaambie waje nyumbnMbona hujambana Wife akuambie nini kinaendelea maana lazima atakua anawajua maana limsisitiza jirani waambie waje hapo ni lazima anawajua so kuna kitu hapo hakiko sawa
Adui wa mwanamke ni mwanamke na adui wa mwanaume ni mwanamke wanaume tunapendaAdui wa mwanaume ni mwanaume
Sio ushauri mbaya, unaenda ili ujue nia yao niniDah! Ila fresh, lkn sishangai jf huu ni ushauri wa kawaida sna
Chunguza isikae kimyaHili la kumuambia waje ni mimi nimemuambia wf amuambie jirani yake awaambie waje nyumbn
Etii eeeh?! Bas sawaa.Hili hta kiapo nachukua kwajili yake mambo za vikoba hizi hta angekuwa msiri kiasi gn lkn ingejulikana tu
Basi uchunguzi wako uanzie hapo, usikute analiwa na jirani anajuaSina uhakika km alimaqnisha kutokwendq sababu wife namjua anapenda sn ushabiki na nisingekuwepo angeenda
Hakika 😎Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea kusisitiza wf aende mara moja.
Ila wife alikaza kwa kumsisitizia huko siwezi kuja.
Mwisho jirani akaja mpka home na kuendelea kumsisitizia wf twende mara moja ila bado wf akakataa na kumuuliza kwani wanashida gn? Wewe twende ukawasikilize.....
Baada ya kuona ule msisitizo sio wakawaida ikanibidi nichungulie dirishani.
Kwa mbali kuna washikaji km watatu hivi ndio walikuwa na yule jirani yetu na wao ndio walikuwa wanamtumia kumuita wf pale akawasikilize na wf ni km alikuwa ananisikilizia mimi km nitamruhusu.
Ila binafsi baada ya kuona kuna msisitizo usio na maelezo ya wazi,nikamzuia wf asiende na kumuambia amuambie jirani awaambie wale wenye uhitaji wafike nyumbni km hawana ndhamira mbaya lkn jamaa hawakuja
Nilichoamua baada ya hili tukio ni kumuibukia jirani kumuonya kuheshimu familia za watu na kujua mipaka yake, kw mke wng sijaona cha kuzungumza nae zaidi sababu hakuomba hta ruhusa ya kutaka kwenda. Je! Kwa uamizi huu niko sahihi?
InawezekanaBasi uchunguzi wako uanzie hapo, usikute analiwa na jirani anajua
Upo sahihi, kuna wkt matukio mengine ni ya kuyapotezea tu.Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea kusisitiza wf aende mara moja.
Ila wife alikaza kwa kumsisitizia huko siwezi kuja.
Mwisho jirani akaja mpka home na kuendelea kumsisitizia wf twende mara moja ila bado wf akakataa na kumuuliza kwani wanashida gn? Wewe twende ukawasikilize.....
Baada ya kuona ule msisitizo sio wakawaida ikanibidi nichungulie dirishani.
Kwa mbali kuna washikaji km watatu hivi ndio walikuwa na yule jirani yetu na wao ndio walikuwa wanamtumia kumuita wf pale akawasikilize na wf ni km alikuwa ananisikilizia mimi km nitamruhusu.
Ila binafsi baada ya kuona kuna msisitizo usio na maelezo ya wazi,nikamzuia wf asiende na kumuambia amuambie jirani awaambie wale wenye uhitaji wafike nyumbni km hawana ndhamira mbaya lkn jamaa hawakuja
Nilichoamua baada ya hili tukio ni kumuibukia jirani kumuonya kuheshimu familia za watu na kujua mipaka yake, kw mke wng sijaona cha kuzungumza nae zaidi sababu hakuomba hta ruhusa ya kutaka kwenda. Je! Kwa uamizi huu niko sahihi?
Uamuzi wngu wa kwanza ni kwa jirani kumuliza shida ilikuwa nini najua hawez kuwa muwazi km dhamira haikuwa nzuri ila lengo ni kutoa onyo na kuweka mipaka kwenye familia ynguChunguza isikae kimyaa
Hakika uko sahihi mkuuMazoea ya ajabu ajabu ya majirani kwa mkeo usipende piga marufuku hata wawe wa kike
unataka kumpandisha ngiri mwenzioEm sema kweli? Em apia?
😂😂😂😂😂
au sio!?Uamuzi wngu wa kwanza ni kwa jirani kumuliza shida ilikuwa nini najua hawez kuwa muwazi km dhamira haikuwa nzuri ila lengo ni kutoa onyo na kuweka mipaka kwenye familia yngu
Umesema mwenyewe Nikilewa mniache, lakini komenti hii hatukuachi ng'wiiii..!!! Unataka kusema jirani ni kuwadi?Kaa vizuri na jirani yako utajua kati ya wale washkaji watatu ni yupi anamfikisha mke wako kileleni
Kwanza niwe muwazi kwa hili hakwenda kwasababu nilikuwepo maana walipokuwa wanaomuhitaji sio mbali na nyumbn ni km mita45 hivi na aliyemuita angewaleta hadi hm km nisingekuwepo sababu ni jirn wa pua na mdomo na ametokea nao kazini kwaoThe audacity ya kumfuata mkeo na kumwambia kuna watu wanamwita mahali!
Hii ndo inatakiwa uhoji!
Mkeo hakwenda kwa kuwa huwa haendi au hakwenda kwa kuwa ulikuwepo?
Mkeo hakwenda kwa kuwa alishangaa wito au ni wito wa kawaida kutoka kwa jirani yake?
Mkeo hakwenda kwa kuwa kulikuwa ni mbali au ingekuwa karibu angeenda(kwa hiyo huwa anaitwa au anafatwa)
enewei!
UKumbuke anaemuita ni jiarni yatu na ni mama mtu mzima na nilichungulia baada ya kuona msisitizo umezidiYani unachungulia dem wako akiitwa bro😂😂, faken shit
We snowhite weweee..!! maswali yako yamekaa kigunia la mkaa tupu..!!!The audacity ya kumfuata mkeo na kumwambia kuna watu wanamwita mahali!