Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

Kwa hiyo wewe unadhani kuoa mke ni wako peke yako kwenye swala la kudinyana ? Huyo ni wako peke yako kwenye ndoa ila siyo kudinyana
 
kama jirani alijua wewe upo na bado akawa anasistiza ivo bc kuna namana jirani alikua anakuonyesha kitu
 
bata ukimchunguza sana utashindwa kumla.......
maamuzi ni sahihi kwa aliyeamua tu, hakuna atakayekua sawa na wewe kuamua usahihi wa maamuzi yako
JITAHIDI KUAMINI MAAMUZI YAKO!
mimi ningekua wewe ningeanza kumchakata mke wangu huo muda wanamwita
 
Kwanza niwe muwazi kwa hili hakwenda kwasababu nilikuwepo maana walipokuwa wanaomuhitaji sio mbali na nyumbn ni km mita45 hivi na aliyemuita angewaleta hadi hm km nisingekuwepo sababu ni jirn wa pua na mdomo na ametokea nao kazini kwao
au sio!?
 
Hayanihusu lakini nikueleze machache mdogo wangu.
1. Nyendo za mkeo ni za mashaka kwa sababu, kama mkeo ni mwanamke anayeheshimu ndoa na hana makandokando basi huyo jirani asingethubutu hata kuja kumuita.

2. Mkeo na huyo mwalimu mwenzake wanajua wanalofanya ila tu siku ya tukio ''timing'' haikuwa nzuri kwa kuwa ulikuwepo.

3. Jirani alijua kuwa upo nyumbani ndio maana akamuitia mbali kwa sababu kama lilikuwa jambo la kawaida kwa nini wasifike nyumbani kwako?

4. Usimuulize chochote jirani yako wala mke kuhusiana na hilo jambo. Unataka kujua ni kwa nini? Sababu ni ndogo sana ila ya maana sana, hao wanawake wawili wanajua wanachofanya, ukiuliza maswali utafanya wabadili mbinu za mambo yao.

5. Anza uchunguzi wako mapema,. ila fanya uchunguzi taratibu tena bila papara, utagundua mengi sana.
 
Yaani wewe mume wa ticha na baba wa familia yako huna uhakika na maamuzi uloyafanya kwa familia yako mpaka uje uhakiki huku! Kazi ipo
 
Huna akili ww
 
Inabidi ujiulize kama ungekuwa haupo angeenda ama asingeenda? Na je ni mara ya kwanza kuitwa ama wameshawahi kuitana before? cha mwisho mkanye mkeo asiwe na mazoea yakijinga na majirani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…