Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #61
Ndio umeweka picha yangu ee,hebu weka na zile tukiwa bagamoyo
Hata mi sijaipenda,halaf mshahara wangu wa mwezi huu hujanilipa,nimefua mno ngui zako na kukupikia unipandishie mshahara
Hayo ndio maneno sasa,nakuja fastaaHaya tukutane hapo kwenye ATM ya NMB Buzuruga Plaza.
Hehehehehee,Dar bar nishafikaBagamoyo?
Mi na wewe tulienda lini Bagamoyo?
Kwanza hata Dar ushafika wewe?
Hayo ndio maneno sasa,nakuja fastaa
Hehehehehee,Dar bar nishafika
Nihamishie kwenye akaunt yangu tu ,halaf nimekusubiri hadi nimechoka mbona hufikii,nimekuja na lumbesaUnataka shi'ngapi sasa? Au nitoe mahela yote yaliyomo kwenye hiyo ATM?
Yes ndio chimbuko langu halaf shiiiiiiii..Dar bar ndo nini/ wapi?
Ndo chimbo lako huko Mwanza?
Ndio mimi MalaikaUyu si malaika?
Nyani umefika bei kwa dina anakukaba hadi penati akina spartakas anawararua[emoji12] [emoji14] [emoji119]Anayemla Dinazarde anafaidi sana wallah...
Nyani umefika bei kwa dina anakukaba hadi penati akina spartakas anawararua[emoji12] [emoji14] [emoji119]
Hata Mimi huwa natania tu kaka najua maisha ya JF ni utani mwingi japo kuna ambao chini ya kapeti wapo kikazi zaidi .Sijafika bei yoyote bana.
Haya mengine ni matani tu.
Msitake kuanzisha shari pasipo na ulazima.
Mimi Dinazarde hata simjui zaidi ya kujichanganya naye tu humu.
Si zaidi wala si pungufu ya hapo.
Rudisha avatar yako ya mwanzoni tafadhali.
Hata mi sijaipenda,halaf mshahara wangu wa mwezi huu hujanilipa,nimefua mno ngui zako na kukupikia unipandishie mshahara
Naunga mkono hoja...
Comrade Nyani Ngabu kama itakupendeza weka hii picha niliyokupiga wakati ukisomea ufundi umeme pale NVTC Chang'ombe. (Najua hii NVTC kuna madogo watakuwa hawajawahi kuisikia).
Hata Mimi huwa natania tu kaka najua maisha ya JF ni utani mwingi japo kuna ambao chini ya kapeti wapo kikazi zaidi .
Ila kwa hili sidhani kama lina uhalisia just kuchangamsha baraza[emoji119] [emoji119] [emoji2]
Hahahaaaa salute my man!
Umenichekesha sana aisee.
Halafu huwezi kuamini...nimeombwa na idadi kubwa sana ya watu nirudishe avatar yangu ya siku zote na mimi kwa unyenyekevu na moyo mkunjufu kabisa nimeyazingatia maombi yao.
Sikujua watu wanakapenda hivyo hako katoto.
Halafu kitu kingine ujue nini Comrade? Ile picha ni yangu kabisa lakini nilijua hata nikiiweka watu hawataamini kuwa ndo mimi.
Hahahahaaaa kaazi kweli kweli yaani.