Una hamu ya kumjua Dinazarde? Huyu hapa.

Anayemla Dinazarde anafaidi sana wallah...

Sanaa..alafu amle kama samaki, wee... mzima mzima, anapindwaaa havunjiki, hadi jicho laliwa... samaki samaki, kila kitu kinaliwa... hadi mkia..!!
Portable sana huyu, kwa kunesanesa ndio mwake..!!
 
Nyani umefika bei kwa dina anakukaba hadi penati akina spartakas anawararua[emoji12] [emoji14] [emoji119]

Sijafika bei yoyote bana.

Haya mengine ni matani tu.

Msitake kuanzisha shari pasipo na ulazima.

Mimi Dinazarde hata simjui zaidi ya kujichanganya naye tu humu.

Si zaidi wala si pungufu ya hapo.
 
Hata Mimi huwa natania tu kaka najua maisha ya JF ni utani mwingi japo kuna ambao chini ya kapeti wapo kikazi zaidi .

Ila kwa hili sidhani kama lina uhalisia just kuchangamsha baraza[emoji119] [emoji119] [emoji2]
 
Rudisha avatar yako ya mwanzoni tafadhali.

Naunga mkono hoja...

Comrade Nyani Ngabu kama itakupendeza weka hii picha niliyokupiga wakati ukisomea ufundi umeme pale NVTC Chang'ombe. (Najua hii NVTC kuna madogo watakuwa hawajawahi kuisikia).

3869.jpg
 
Hahahaaaa salute my man!

Umenichekesha sana aisee.

Halafu huwezi kuamini...nimeombwa na idadi kubwa sana ya watu nirudishe avatar yangu ya siku zote na mimi kwa unyenyekevu na moyo mkunjufu kabisa nimeyazingatia maombi yao.

Sikujua watu wanakapenda hivyo hako katoto.

Halafu kitu kingine ujue nini Comrade? Ile picha ni yangu kabisa lakini nilijua hata nikiiweka watu hawataamini kuwa ndo mimi.

Hahahahaaaa kaazi kweli kweli yaani.
 
Hata Mimi huwa natania tu kaka najua maisha ya JF ni utani mwingi japo kuna ambao chini ya kapeti wapo kikazi zaidi .

Ila kwa hili sidhani kama lina uhalisia just kuchangamsha baraza[emoji119] [emoji119] [emoji2]

Basi vizuri.
 
Hahahaaaa salute my man!

Umenichekesha sana aisee.

Halafu huwezi kuamini...nimeombwa na idadi kubwa sana ya watu nirudishe avatar yangu ya siku zote na mimi kwa unyenyekevu na moyo mkunjufu kabisa nimeyazingatia maombi yao.

Sikujua watu wanakapenda hivyo hako katoto.

Halafu kitu kingine ujue nini Comrade? Ile picha ni yangu kabisa lakini nilijua hata nikiiweka watu hawataamini kuwa ndo mimi.

Hahahahaaaa kaazi kweli kweli yaani.

Hahahahahaa tuliokujua tangu enzi za "Julius" Nyerere wala haitusumbui.

Tatizo hiki kizazi toleo jipya..... kinaweza kujifanya kukufahamu kuliko mama yako anavokufahamu
 
Back
Top Bottom