Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

Virus na anti virus ni moja kati ya mambo yalikua ktk mfumo huu mkuu.
 
Swala la kutengeneza Wajinga wengi akilini sio Utaperi ni njia ya kucheza na akili za watu na hio inatuma Dunia nzima
 
Dar: 300×65000 = 19,500,000

Mwanza: 100×135,000 = 13,500,000

JUMLA KUU = 33,000,000/-

Ndani ya mwezi, alishatoka huyu
Mkuu kutengeneza Wajinga wengi akilini mwako sio Utaperi yaani ni njia ya wewe ku implement Idea yako.
 
hahahhah hata mimi nilisha waza saana ..nipo na set mitambo tu sa hiv...hiyo mifano ya sungura uliotoa mimi mwanzoni hii biashara niliipinga
 
Nifundishe nami niwe nacheza hii kitu
 
Nguvu ya buku. Tatu mzuka. aisee CHASHA nakupata. mtu anapata mazuzu money.
 
Dar: 300×65000 = 19,500,000

Mwanza: 100×135,000 = 13,500,000

JUMLA KUU = 33,000,000/-

Ndani ya mwezi, alishatoka huyu
Inaonekana wewe ni maskini sana tena wa kutupwa.

Yaani hapo ulipo unanuka umaskini na hiyo hela uliyojumlisha hapo haujawahi kuishika wala hutokaa uishike maishani mwako kwa sababu una mitazamo na akili za masikini.

Hapo unampigia mwenzako anaingiza kiasi gani na kuhitimisha kwamba ameshatoka pasipo hata kujiuliza wala kudadisi operating costs za hiyo project yake ni kiasi gani na anabakiwa gani na hao unao waona wewe ni wajinga wananufaika kiasi gani. Una akili mbuzi sana.

Halafu mnashangaa Ontario kutoza hiyo hela kidogo mnaiona nyingi, kweli nchi yetu imejaza masikini sana.

Hebu angalia hapa huyu trainer anavyo charge

Huyo jamaa anafundisha forex kwa 6,000R ambayo ni sawa na Tsh.985,300 kwa kila kichwa. Na hapo anatoa training ya siku tatu tu. Na kila wiki huwa anafundisha watu 20.

Sasa Leo hii Ontario amewafanyia favor kabisa kwa bei chee mnaanza kumuangalia kwa jicho la husuda na chuki, vipi kama angeamua kutoa training kwa fee ya $300 si ndio mngempelekea takukuru mpaka nyumbani kwake?

Acha wivu pambana na umasikini wako.
 
mimi nimependa akili ya dogo wa forex yule....
Forex is a real business, nilioisoma kwenye international finance 3rd year Mzumbe. Tatizo letu wa bongo ni kuwa tuko miaka 50 behind technology. Kutokua na ujuzi na maarifa sahahihi kunatuponza sana. Anyway, nakubaliana na Mr Chasha tatizo letu wabongo ni kukosa consistency. Do what you love and let the money follow you, usiifuate pesa.
 
Hiyo. Kazi ya Cocacola wanawezesha kufungua kiwanda lakini Raw matiarial unaagiza kwao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…