Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

Safi sana,unafaa kuwa mwalimu maana umewaelewesha wajinga kwa lugha tamu na nyoofu kabisa.Sasa ujinga umewaisha..
 
DECI kupanda na kuvuna. Mnakumbuka hii Adventure Series, japo Muvi lilivunja records za Mauzo ya tiketi Ila lilizimika ghafla baada ya SIRI KALI kushtuka watu wananogewa
 
Forex inashindwa kueleweka na Watanzania kutokana na tatizo la kutopenda kujisomea. Hilo bundle wanalotumia kufuatilia Hamisa Mobeto kapost nini wangelitumia kufuatilia ukweli kuhusu FOREX is a scam or what tungekuwa tunaongea lugha moja saizi.
 
Mkuu nahisi una tatizo mahali fulani. Unawaitaje watu wajinga wakati wanachofundishwa ni kweli? Au ujinga una maana gani kwako na wajinga ni kina nani? Kwa mfano wako basi kila mtu ni mjinga, tunalipa ada kubwa vyuoni ili tupate Elimu, Tunaenda hospitali binafsi kupata tiba bora, Tunawapeleka watoto wetu tuition wapate kujengwa zaidi kimasomo n.k vyote ni Ujinga?! Hauko serious otherwise tuambie kwanini unadhani waliopata course kwa bwana ONTARIO ni wajinga?
 
Hujamuelewa msome vizuri,yeye na wewe hakuna mnachopingana ndio maana kaweka alama hizi "mjinga" ikiwa ni sarcasm (go google)
 
au ukiacha hiyo ya kutengeneza wajinga wingi, njia nyingine ni kutengeneza tatizo halafu unakua unapiga hela kene dawa ya kulikabili hilo tatizo.
mfano1; UNATENGENEZA VIRUSI VYA UKIMWI HALAFU UNAPIGA HELA KWA KUUZA ARV. USIJE UKATHUBUTU UKAUZA DAWA YA KUPONYESHA, KWASABABU MTU AKISHA PONA ANAKUA SIO MTEJA WAKO TENA SO USIUZE YA KUPONYESHA UZA YA KUONGEZA MATUMAINI TU.
mfano2: UNATENGENEZA AU KUUZA MADAWA YA KULEVYA, MTU AKISHA TUMIA TU...HATA KAMA NI MARA MOJA ANAKUA MTEJA WAKO MPAKA SIKU ANAINGIA KABURINI.HII NDIO ASILI YA NENO TEJA KWA WALE AMBAO HAWAJUI.
mfano3:UNATENGENEZA NA KUMUUZIA MTU KIFAA CHA MAWASILIANO, HASA SIMU AU LINE ZA CMU.MTU AKINUNUA TU ANAKUA MTEJA WA VOCHA MAISHA YAKE YOTE.
 
Nadhani ili uelewe vizuri "definition" ya "ujinga "ungerejea kauli ya Nyerere wakati anataja maadui wa maendeleo! Baada ya hapo jiulize maswali kadhaa yakiwemo :kwanini watu wanaenda Shule!? Kwanini shuleni kuna walimu!? Watu wanaoenda shuleni wanahitaji nini huko shuleni!? Walimu wana nini na wanafunzi wamekosa nini kwa wakati huo!?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada kwa nilivyomuelewa anamaanisha hyo TENGENEZA WAJINGA WENGI SANA kwa maana ya uwe na uhakika wa MARKET OPPORTUNITY. What i can say ts a bad choice of word, linaleta ukakasi hlo neno ndo mana kuna wengne wanacomment tofaut na maana kuu iliyodhamiriwa kwny hii thread.

Mtoa mada ungeedit hii thread ingekua vzur sana kusiwe na mifarakano.

All in all ukisikia au ukitaka kuingia any business before kuanza kukosoa ni vyema ukaichunguza vzur usitumie mihemko usije kua kwny kundi la 'WAJINGA NDO WALIWAO'. Wabongo weng tunakosoa sana, afu weng wanaokosoa utakuta hata hawaelewi vzuri au hawajui kabisa wanachokikosoa.
 
Hakika umewaza na kuwazua

Hata aliyebuni Airtelmoney m-pesa tigo pesa zpesa halopesa Max Malipo nk

Alitengeneza ujinga kisha ujinga ukamtoka
Ukabaki kwa walioambukizwa ujinga
 
Hahahah nimekusoma ngoja nitengeneze ujinga kwa watu wa Jf nampango wa kupiga million mia tano mwakan nitakuja nao umu siku ikifika
 
Dar: 300×65000 = 19,500,000

Mwanza: 100×135,000 = 13,500,000

JUMLA KUU = 33,000,000/-

Ndani ya mwezi, alishatoka huyu
kama Jamaa alifanikiwa kufnya hiyo semina yake kwa muda wa mwaka mzima ..na kama alikuwa anaifnya kila baada ya mwezi basi Jamaa aliwapia takribani ml.300 huko manina..hapo bado hajapata commission toka kwa brocker wake baada ya vijana kuunguza ac zao ...aiseee alikuwa ana haki ya kuwafokea kama watoto wadogo maana sio kwa uzombie huo
 
unajielewa sana halafu una busra
barikiwa
 
yap nikweli usemacho I agreed with you
hata katika masuala ya siasa ni hivyo hivyo hata namna ambavyo public figure wengi wanavyo survive maisha yao huwa wanatumia mfumo huo huo wakuwakusanya wajinga naku wavuna vyao huku wao wakineemeka
 
kwani bado anakupingia tu mkuu ..ujinga sio tusi Bali ni mtu/watu kutokuwa na ufahamu na jambo Fulani ..so wanapopewa ekimu yalilosuala ndio wanakuwa wametoka rasmi katika huo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…