upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Kha!kumbe siku zote unatumia matope,changamka fasta fwedha ipo nje nje.NAMI NAANZA SASA KUTUMIA AKILI ILI NPATE PESA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha!kumbe siku zote unatumia matope,changamka fasta fwedha ipo nje nje.NAMI NAANZA SASA KUTUMIA AKILI ILI NPATE PESA
Safi sana,unafaa kuwa mwalimu maana umewaelewesha wajinga kwa lugha tamu na nyoofu kabisa.Sasa ujinga umewaisha..Labda nibadilishe lugha tuelewane vizuri "tuite kutafuta wajinga wengi ili ku implement idea yako na kisha kutusua"
Tatizo naona watu humu wanakuja na mihemuko utafikiri ujinga ni tusi au kilema
Kutusua kupitia wajinga ndio mfumo wa dunia ulivyo! Ontario ametukusanya tuliokuwa wajinga wa Forex trading na kupitia kutupa knowledge hiyo atatusua kwa nafasi yake na sisi hatutabaki wajinga tena na pia sisi tunaweza kuamua kutusua kwa kutafuta wajinga wengine na kuwauzia huo ujuzi!
Hata wewe baada ya kuelewa hiyo Forex trading unaweza kuamua kwenda mkoa fulani na kukusanya wajinga ukatusua kupitia kuwapa knowledge ambayo hawakuwa nayo!
Nahisi wengi bado wanadhani ujinga ni tusi na kusema mtu kutusua kupitia ujinga wa mwenzake kwamba kaiba! This is not correct!!
Forex inashindwa kueleweka na Watanzania kutokana na tatizo la kutopenda kujisomea. Hilo bundle wanalotumia kufuatilia Hamisa Mobeto kapost nini wangelitumia kufuatilia ukweli kuhusu FOREX is a scam or what tungekuwa tunaongea lugha moja saizi.Forex is a real business, nilioisoma kwenye international finance 3rd year Mzumbe. Tatizo letu wa bongo ni kuwa tuko miaka 50 behind technology. Kutokua na ujuzi na maarifa sahahihi kunatuponza sana. Anyway, nakubaliana na Mr Chasha tatizo letu wabongo ni kukosa consistency. Do what you love and let the money follow you, usiifuate pesa.
Mkuu nahisi una tatizo mahali fulani. Unawaitaje watu wajinga wakati wanachofundishwa ni kweli? Au ujinga una maana gani kwako na wajinga ni kina nani? Kwa mfano wako basi kila mtu ni mjinga, tunalipa ada kubwa vyuoni ili tupate Elimu, Tunaenda hospitali binafsi kupata tiba bora, Tunawapeleka watoto wetu tuition wapate kujengwa zaidi kimasomo n.k vyote ni Ujinga?! Hauko serious otherwise tuambie kwanini unadhani waliopata course kwa bwana ONTARIO ni wajinga?Labda nibadilishe lugha tuelewane vizuri "tuite kutafuta wajinga wengi ili ku implement idea yako na kisha kutusua"
Tatizo naona watu humu wanakuja na mihemuko utafikiri ujinga ni tusi au kilema
Kutusua kupitia wajinga ndio mfumo wa dunia ulivyo! Ontario ametukusanya tuliokuwa wajinga wa Forex trading na kupitia kutupa knowledge hiyo atatusua kwa nafasi yake na sisi hatutabaki wajinga tena na pia sisi tunaweza kuamua kutusua kwa kutafuta wajinga wengine na kuwauzia huo ujuzi!
Hata wewe baada ya kuelewa hiyo Forex trading unaweza kuamua kwenda mkoa fulani na kukusanya wajinga ukatusua kupitia kuwapa knowledge ambayo hawakuwa nayo!
Nahisi wengi bado wanadhani ujinga ni tusi na kusema mtu kutusua kupitia ujinga wa mwenzake kwamba kaiba! This is not correct!!
Hujamuelewa msome vizuri,yeye na wewe hakuna mnachopingana ndio maana kaweka alama hizi "mjinga" ikiwa ni sarcasm (go google)Mkuu nahisi una tatizo mahali fulani. Unawaitaje watu wajinga wakati wanachofundishwa ni kweli? Au ujinga una maana gani kwako na wajinga ni kina nani? Kwa mfano wako basi kila mtu ni mjinga, tunalipa ada kubwa vyuoni ili tupate Elimu, Tunaenda hospitali binafsi kupata tiba bora, Tunawapeleka watoto wetu tuition wapate kujengwa zaidi kimasomo n.k vyote ni Ujinga?! Hauko serious otherwise tuambie kwanini unadhani waliopata course kwa bwana ONTARIO ni wajinga?
Nadhani ili uelewe vizuri "definition" ya "ujinga "ungerejea kauli ya Nyerere wakati anataja maadui wa maendeleo! Baada ya hapo jiulize maswali kadhaa yakiwemo :kwanini watu wanaenda Shule!? Kwanini shuleni kuna walimu!? Watu wanaoenda shuleni wanahitaji nini huko shuleni!? Walimu wana nini na wanafunzi wamekosa nini kwa wakati huo!?Mkuu nahisi una tatizo mahali fulani. Unawaitaje watu wajinga wakati wanachofundishwa ni kweli? Au ujinga una maana gani kwako na wajinga ni kina nani? Kwa mfano wako basi kila mtu ni mjinga, tunalipa ada kubwa vyuoni ili tupate Elimu, Tunaenda hospitali binafsi kupata tiba bora, Tunawapeleka watoto wetu tuition wapate kujengwa zaidi kimasomo n.k vyote ni Ujinga?! Hauko serious otherwise tuambie kwanini unadhani waliopata course kwa bwana ONTARIO ni wajinga?
Mfano adhimu huuNi kama ccm ilivyotengeneza, na inavyoendelea kutengeneza majinga yake . . , coco . . , Barbarossa, huku akina DAB wakiendelea kupiga pesa . . [emoji38] [emoji38] [emoji38]
carpetMabusati ndio nini?
hahaaaAnakuambia, lipia akufundishe na kisha uwe milionea.....[emoji2] [emoji2]
kama Jamaa alifanikiwa kufnya hiyo semina yake kwa muda wa mwaka mzima ..na kama alikuwa anaifnya kila baada ya mwezi basi Jamaa aliwapia takribani ml.300 huko manina..hapo bado hajapata commission toka kwa brocker wake baada ya vijana kuunguza ac zao ...aiseee alikuwa ana haki ya kuwafokea kama watoto wadogo maana sio kwa uzombie huoDar: 300×65000 = 19,500,000
Mwanza: 100×135,000 = 13,500,000
JUMLA KUU = 33,000,000/-
Ndani ya mwezi, alishatoka huyu
aiseeeeVirus na anti virus ni moja kati ya mambo yalikua ktk mfumo huu mkuu.
unajielewa sana halafu una busraLabda nibadilishe lugha tuelewane vizuri "tuite kutafuta wajinga wengi ili ku implement idea yako na kisha kutusua"
Tatizo naona watu humu wanakuja na mihemuko utafikiri ujinga ni tusi au kilema
Kutusua kupitia wajinga ndio mfumo wa dunia ulivyo! Ontario ametukusanya tuliokuwa wajinga wa Forex trading na kupitia kutupa knowledge hiyo atatusua kwa nafasi yake na sisi hatutabaki wajinga tena na pia sisi tunaweza kuamua kutusua kwa kutafuta wajinga wengine na kuwauzia huo ujuzi!
Hata wewe baada ya kuelewa hiyo Forex trading unaweza kuamua kwenda mkoa fulani na kukusanya wajinga ukatusua kupitia kuwapa knowledge ambayo hawakuwa nayo!
Nahisi wengi bado wanadhani ujinga ni tusi na kusema mtu kutusua kupitia ujinga wa mwenzake kwamba kaiba! This is not correct!!
yap nikweli usemacho I agreed with youUsha wahi kufuatilia post zangu za nyuma?
Naona unaleta mipasho ya pwani na kama nilivyo sema hapo juu huo ndo ukweli kuhusu wewe.
Halafu swala la kutengeneza wajinga hilo ni world wide, hata wakina I phone wanafanya hivyo.
Na ni strategy za wajasiriamali Dunia nzima na si kosa.
Acha kuwa na mawazo mafupi
kwani bado anakupingia tu mkuu ..ujinga sio tusi Bali ni mtu/watu kutokuwa na ufahamu na jambo Fulani ..so wanapopewa ekimu yalilosuala ndio wanakuwa wametoka rasmi katika huo ujingaNadhani ili uelewe vizuri "definition" ya "ujinga "ungerejea kauli ya Nyerere wakati anataja maadui wa maendeleo! Baada ya hapo jiulize maswali kadhaa yakiwemo :kwanini watu wanaenda Shule!? Kwanini shuleni kuna walimu!? Watu wanaoenda shuleni wanahitaji nini huko shuleni!? Walimu wana nini na wanafunzi wamekosa nini kwa wakati huo!?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app