Una kijana asiyechagua kazi? Mlete hapa apate kujishughulisha

Una kijana asiyechagua kazi? Mlete hapa apate kujishughulisha

Step one

Member
Joined
Sep 25, 2020
Posts
83
Reaction score
125
Habari zenu wana JF
Wanahitajika vijana wawili wa kiume wachapa kazi hodari na waaminifu wakazi wa Dsm.

Umri usizidi miaka 25.

Lakini pia hata akipatikana wa kike sio mbaya kama atashirikiana na wa kiume jumla yake wapatikane wawili tu.

Kuna kijiwe changu cha kuuzia Ashua (mbupu za Ng'ombe, Mbuzi na kondoo) hivyo nahitaji vijana wapambanaji wa kazi hiyo. Hizi zinachomwa kama vile Nyama choma.

Mwenye kijana au muhitaji basi aje PM.
 
Back
Top Bottom