Mjini kati mkuu, karibu.Kipo wapi nije kula?
Makubaliano baina yetuMalipo yakoje mkuu?
Anaweza kufanya hii kazi?Kuna dogo yupo vizuri sana.
Ila nahisi itakua changamoto kwake Kwenye ishu ya usafiri.
Anaishi CHANIKA
asee hakuna kitu tamu kama pumbu ya mbuzi
Naomba mawasiliano yakeAnaweza Boss.
Tukutane Kituo cha kazi mkuu. Labda weekend au asogee maeneo ya Kkoo tunaweza onanaWEWE WAISHI WAPI MKUU??
Mjini Kati ndiyo wapi huko, mbeya, dodoma, ikungi, au kilwa ?Mjini kati mkuu, karibu.
Mbona nimesema Dsm mkuuMjini Kati ndiyo wapi huko, mbeya, dodoma, ikungi, au kilwa ?
Dsm ina mjini kati sehemu nyingi, upanga, manzese, buguruni, posta, kariakoo, masaki ubungo au Sinza ?Mbona nimesema Dsm mkuu
Mkuu una mtu wa kufanya kazi, unahitaji kufanya kazi au unataka hiyo mjini kati tu shida yako itoke?Dsm ina mjini kati sehemu nyingi, upanga, manzese, buguruni, posta, kariakoo, masaki ubungo au Sinza ?
Sisi wengine walaji wazuri tu wa hivyo vituMkuu una mtu wa kufanya kazi, unahitaji kufanya kazi au unataka hiyo mjini kati tu shida yako itoke?
Taja jina la mahali acha mbwembwe uchwara wewe.Mkuu una mtu wa kufanya kazi, unahitaji kufanya kazi au unataka hiyo mjini kati tu shida yako itoke?
Sasa mbwembwe uchwara zangu zinakukera niniTaja jina la mahali acha mbwembwe uchwara wewe.
Hujielewi wewe.Sasa mbwembwe uchwara zangu zinakukera nini
inawezekana hataki umjue,kuogopa asijiachie vizuri jf,kuogopa wasiojulikanaTaja jina la mahali acha mbwembwe uchwara wewe.