Una kipaji gani ila hakikuendelezwa kutokana na mazingira yetu ya kutokukuza vipaji?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.

Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani anacheza mpira mno ila ndio hivyo kipaji kinafia mchangani.

Huenda nawe una kioaji fulani ila hakiendelezwa, je ni kipi?
 
Acha kujaribu kuona unafundisha Dunia utadhalilika kwa Hakika

Dunia inaweza kua jinsi ilivyo bila ya wewe
 
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.

Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani anacheza mpira mno ila ndio hivyo kipaji kinafia mchangani.

Huenda nawe una kioaji fulani ila hakiendelezwa, je ni kipi?
Kula
 
Vipaji afrika mpaka yesu kurudi hata watoto tukiwasomesha nje na haya tunayopitia kurudi nyumbani wamaekaataa.
 
Mimi kipaji changu ni kula MIHOGO.

Nikikuta HOGO limekaa kizembe zembe nalitafuna haswa.

Tatizo MIHOGO imekuwa adimu sana kiasi kwamba kipaji changu cha kuitafuna kinazidi kudumaa.

Kutoka kuwa chipukizi mpaka kuwa underdog wa MIHOGO. Nimebagazwa mno.

MIHOGO iheshimiwe.
 
Hahaaaa
 
Daaah! Mido ya boli, kipindi nalisakata kabumbu, watu walijua siku moja nitakuwa mrithi wa xavi hernandez pale Barcelona. Ila ndo hivyo bongo ni bongo tu
 
UFUNDI FUNDI WA VIFAA VYOTE KUTOA FUNDI MWASHI TU.

Nikiwa mdogo nilipenda kutengeneza vitu vilivyo haribika pia nilifatilia kila hatua vinavo fanya kaz
 
Footballer.
Nikiwa madarasa ya chini shule ya msingi nilikua hodari sana golini,darasa la 4 lakini game ya 6 VS 7 wanaweka dau kunikodisha 😂.

Nakumbuka pia nilienda kusalimia kwa babu ikatokea game ya kirafiki basi wajomba sijui ilikuaje wakatengeneza mazingira nikae langoni(nadhani ni kutafuta attention pale kijijini kwani walifahamu nina uwezo).

Ajabu nilipenda zaidi kucheza #10 ambayo nilikua na uwezo ila si kama golini.

NB :Michezo ni muhimu sana mwili unakua fit muda wote, inshallah nitarudi ground japo umri si rafiki tena.
 
Tunaua vipaji vingi sana kwa sababu ya kutokuvitambua vikiwa vichanga
 
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.

Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani anacheza mpira mno ila ndio hivyo kipaji kinafia mchangani.

Huenda nawe una kioaji fulani ila hakiendelezwa, je ni kipi?
Football
 
Back
Top Bottom