KulaLeo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.
Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani anacheza mpira mno ila ndio hivyo kipaji kinafia mchangani.
Huenda nawe una kioaji fulani ila hakiendelezwa, je ni kipi?
Vipaji afrika mpaka yesu kurudi hata watoto tukiwasomesha nje na haya tunayopitia kurudi nyumbani wamaekaataa.Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.
Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani anacheza mpira mno ila ndio hivyo kipaji kinafia mchangani.
Huenda nawe una kioaji fulani ila hakiendelezwa, je ni kipi?
HahaaaaMimi kipaji changu ni kula MIHOGO.
Nikikuta HOGO limekaa kizembe zembe nalitafuna haswa.
Tatizo MIHOGO imekuwa adimu sana kiasi kwamba kipaji changu cha kuitafuna kinazidi kudumaa.
Kutoka kuwa chipukizi mpaka kuwa underdog wa MIHOGO. Nimebagazwa mno.
MIHOGO iheshimiwe.
DuhMpaka Leo sijui Nina kipaji gani, sina interest na kitu chochote
Tunaua vipaji vingi sana kwa sababu ya kutokuvitambua vikiwa vichangaFootballer.
Nikiwa madarasa ya chini shule ya msingi nilikua hodari sana golini,darasa la 4 lakini game ya 6 VS 7 wanaweka dau kunikodisha 😂.
Nakumbuka pia nilienda kusalimia kwa babu ikatokea game ya kirafiki basi wajomba sijui ilikuaje wakatengeneza mazingira nikae langoni(nadhani ni kutafuta attention pale kijijini kwani walifahamu nina uwezo).
Ajabu nilipenda zaidi kucheza #10 ambayo nilikua na uwezo ila si kama golini.
NB :Michezo ni muhimu sana mwili unakua fit muda wote, inshallah nitarudi ground japo umri si rafiki tena.
Duh ! secretarybird chukua fursa hiyoMimi kipaji changu ni kula MIHOGO.
Nikikuta HOGO limekaa kizembe zembe nalitafuna haswa.
Tatizo MIHOGO imekuwa adimu sana kiasi kwamba kipaji changu cha kuitafuna kinazidi kudumaa.
Kutoka kuwa chipukizi mpaka kuwa underdog wa MIHOGO. Nimebagazwa mno.
MIHOGO iheshimiwe.
FootballLeo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.
Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani anacheza mpira mno ila ndio hivyo kipaji kinafia mchangani.
Huenda nawe una kioaji fulani ila hakiendelezwa, je ni kipi?
Ngoja Mungu aweke mifumo ya kiutawala sawa kwanza!.Tunaua vipaji vingi sana kwa sababu ya kutokuvitambua vikiwa vichanga