Una kipaji usichokitumia?

Una kipaji usichokitumia?

Mimi ni mchoraji mzuri sana na mbunifu, nimesoma fine art toka o-level hadi A-level nimeshiriki club nyingi sana za uchoraji ! Na mashindano mbalimbali Ila huku ukubwani kipaji hiki sikitumii kabisa !!
Namwomba Mungu akinipa uwezo na Afya mbeleni nataka kuanzisha club ya
ART THERAPY kwa njia ya uchoraji na kupaka rangi na kutengeneza vitu vya ubunifu hii kitu nitaianzisha kwa shule za msingi ambapo nitauomba uongozi wa shule wanitengee siku moja kwa wiki muda ni saa moja nakua na kundi la wanafunzi 30 tu tunapaint , tunachora na kubuni vitu mbali mbali.

Gharama zote zitakua juu yangu vifaa na vitendea kazi vyote kama rangi za aina zote (za maji , za mafuta , pencils , canvas n.k) , Drawing board yan kila kitu nitanunua mimi.
Nitaanza kwa shule moja ila nikikaa njema nitakua nitaongeza ziwe nyingi zaidi.

Kusambaza tone la upendo tu
Utafanya jambo zuri sana nami ntakuchangia kiasi siku utakayoanza
 
King kikii ninaemfagamu au mwingine.Kitambaa cheupe ni marehemu?
ok sasa nikupe stori juu ya marehemu king kikii,alialikwa mkoa mmoja huko kanda ya ziwa ambae alikuwa na bendi ili akapige na bendi yake.Ikatokea bahati nami nilikuwa mkoa huo kikazi na tukafikia gesti moja,sasa tukakutana nae na kuongea nae na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuongea nae kwa ukaribu kabisa na ndiye aliyenieleza kuwa kaalikwa hapo kupiga mziki hivyo jioni atakuwa na hoyo bendi kufanya mazoezi ili jmosi wapige na mji mzima mabango yalikuwa yamewekwa,nikamwambia nami ntapita kuangalia mazoezi akaniambia karibu,ila sikumwambia kuwa mie najua kupiga gitaa,basi jioni yake nikaenda nikamkuta yupo na hiyo bendi wakifanyia mazoezi nyimbo ambazo ataimba.Basi walipopumzika kidogo nikaomba solo nikaamza kupiga,na nikapiga wimbo mmoja aliba yeye na solo ilipogwa na nguza viking,kikii aliniangalia toka nashika gitaa na nilivyopiga,akaniambia we gitaa umejifunza wapi? ndipo nikamwambia mie gitaa nalijua kabisa,ndipo nikafanya nae mazoezi kwa siku mbili na wimbo muhimu ni kitambaa cheupe nilipiga vizuri mno mpaka hao wanamziki wa hiyo bendi walifurahi mno,kikii akaniomba nimpigie gitaa jumamosi huo wimbo wake wa kitambaa cheupe,nami nikakubali na siku hiyo mji mzima ulikuwa hapo ukumbini na viongozi wote wa mkoa walikuwepo hapo ukumbini na watu walijaa sana.Basi hotuba na utambulisho ukafanyika na mziki ukaanza mimi na watu wangu tulikuwa meza fulani hivi,tukinywa na kula nyama,ulipofika huo wimbo nikaitwa na kutambulishwa,watu walishangaa mnoaana hawajawahi kunijua kuwa napiga gitaa,basi nilipiga gitaa vizuri mno na king kikii alanishukuru na kunialika dar ili nikapige solo. Ni miaka zaidi ya 5
imepita na sikubahatikabtena kukutana nae mpaka anafariki Hivyo ndio ilivyokuwa
 
Stand up comedy nipo vzr snaa...
Kuna wanangu kibao wapo cheka tuu pale na mi ndo nawaandikia content...

Mda wote wanatamani niende pale ila mi nipo nduki na viroba..
Nipo nduki na maseke...

Kwa uchache tuuu mimi ndo nilileta idea ya SENTESI MOJA pale cheka tuu

Wengine wananiita ghost an natoa kitu alafu napita hvi
 
wow good
 
Mdogo wangu umeikalia hela upo busy unakimbiza mishangazi. Fungua hata page Instagram au twitter uonekane na media maana kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa content

Au katusaidie kuandika story na script bongo movie 😁
 
Mkuu mi ni direction tuu..
Kuhusu kuandika script naandika mara moja moja mkuu.....

Likija suala la kusema why nipo bize mkuu kuna watu nahsi tumeumbwa kuwa ma ghost tuu...

Hata nyumbani kule likitokea tukio lolote la harusi au ishu yoyote an huwa ndio msimamizi ambaye nina influence kubwa sna lakini uwezi niona kwenye matukio muhimu mi ni kuhakikisha jambo lipo oky...

Hii ilianzia chuo hukoo naweza fanya kazi kubwa ambayo tumepewa watu kumi kumi.. baada ya hapo mimi nita devide kila kipengele aonekane kafnya mtu fulan alafu mi mwenyewe nakua mwisho mwisho Huku kabisa..

Hvo nishazoea siwezi toka nje ya hii limit
 
Nilikuwa kama wewe, sitoongea mengi ila jifunze kumiliki greatness yako.

Utafika miaka ya mbele na kuja kujua kuna sehemu ungefika haraka kama ungeamua kutoficha uhalisia wako. Natumaini haitokuwa too late

All the best kaka
 
Back
Top Bottom