DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Enzi za kukua kwangu nilikua na vipaji viwili ambavyo vilikosa platform tu.... Soka na muziki(hip-hop). Nikikumbuka roho huwa inaniuma sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo, hebu kitaje au niwaambie 😹Mie napenda TECH
ni hulka yangu tuUnacho bhana, cha kupenda mashangazi kuliko agemates wenzio 😹
Investigation or inquiryuchunguzi
wapo wana vipaji na wapo wana ujuziInvestigation or inquiry
Utafanya jambo zuri sana nami ntakuchangia kiasi siku utakayoanzaMimi ni mchoraji mzuri sana na mbunifu, nimesoma fine art toka o-level hadi A-level nimeshiriki club nyingi sana za uchoraji ! Na mashindano mbalimbali Ila huku ukubwani kipaji hiki sikitumii kabisa !!
Namwomba Mungu akinipa uwezo na Afya mbeleni nataka kuanzisha club ya
ART THERAPY kwa njia ya uchoraji na kupaka rangi na kutengeneza vitu vya ubunifu hii kitu nitaianzisha kwa shule za msingi ambapo nitauomba uongozi wa shule wanitengee siku moja kwa wiki muda ni saa moja nakua na kundi la wanafunzi 30 tu tunapaint , tunachora na kubuni vitu mbali mbali.
Gharama zote zitakua juu yangu vifaa na vitendea kazi vyote kama rangi za aina zote (za maji , za mafuta , pencils , canvas n.k) , Drawing board yan kila kitu nitanunua mimi.
Nitaanza kwa shule moja ila nikikaa njema nitakua nitaongeza ziwe nyingi zaidi.
Kusambaza tone la upendo tu
ok sasa nikupe stori juu ya marehemu king kikii,alialikwa mkoa mmoja huko kanda ya ziwa ambae alikuwa na bendi ili akapige na bendi yake.Ikatokea bahati nami nilikuwa mkoa huo kikazi na tukafikia gesti moja,sasa tukakutana nae na kuongea nae na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuongea nae kwa ukaribu kabisa na ndiye aliyenieleza kuwa kaalikwa hapo kupiga mziki hivyo jioni atakuwa na hoyo bendi kufanya mazoezi ili jmosi wapige na mji mzima mabango yalikuwa yamewekwa,nikamwambia nami ntapita kuangalia mazoezi akaniambia karibu,ila sikumwambia kuwa mie najua kupiga gitaa,basi jioni yake nikaenda nikamkuta yupo na hiyo bendi wakifanyia mazoezi nyimbo ambazo ataimba.Basi walipopumzika kidogo nikaomba solo nikaamza kupiga,na nikapiga wimbo mmoja aliba yeye na solo ilipogwa na nguza viking,kikii aliniangalia toka nashika gitaa na nilivyopiga,akaniambia we gitaa umejifunza wapi? ndipo nikamwambia mie gitaa nalijua kabisa,ndipo nikafanya nae mazoezi kwa siku mbili na wimbo muhimu ni kitambaa cheupe nilipiga vizuri mno mpaka hao wanamziki wa hiyo bendi walifurahi mno,kikii akaniomba nimpigie gitaa jumamosi huo wimbo wake wa kitambaa cheupe,nami nikakubali na siku hiyo mji mzima ulikuwa hapo ukumbini na viongozi wote wa mkoa walikuwepo hapo ukumbini na watu walijaa sana.Basi hotuba na utambulisho ukafanyika na mziki ukaanza mimi na watu wangu tulikuwa meza fulani hivi,tukinywa na kula nyama,ulipofika huo wimbo nikaitwa na kutambulishwa,watu walishangaa mnoaana hawajawahi kunijua kuwa napiga gitaa,basi nilipiga gitaa vizuri mno na king kikii alanishukuru na kunialika dar ili nikapige solo. Ni miaka zaidi ya 5King kikii ninaemfagamu au mwingine.Kitambaa cheupe ni marehemu?
Amina sana mkuu !!!Utafanya jambo zuri sana nami ntakuchangia kiasi siku utakayoanza
wow goodStand up comedy nipo vzr snaa...
Kuna wanangu kibao wapo cheka tuu pale na mi ndo nawaandikia content...
Mda wote wanatamani niende pale ila mi nipo nduki na viroba..
Nipo nduki na maseke...
Kwa uchache tuuu mimi ndo nilileta idea ya SENTESI MOJA pale cheka tuu
Wengine wananiita ghost an natoa kitu alafu napita hvi
kabisaKipaji usipokiendeleza kinakufa
Mdogo wangu umeikalia hela upo busy unakimbiza mishangazi. Fungua hata page Instagram au twitter uonekane na media maana kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa contentStand up comedy nipo vzr snaa...
Kuna wanangu kibao wapo cheka tuu pale na mi ndo nawaandikia content...
Mda wote wanatamani niende pale ila mi nipo nduki na viroba..
Nipo nduki na maseke...
Kwa uchache tuuu mimi ndo nilileta idea ya SENTESI MOJA pale cheka tuu
Wengine wananiita ghost an natoa kitu alafu napita hvi
nenda kuna vyuo siku hizi vinafunfisha mziki ikiwemo kupiga gitaaHongera sana Mkuu!
Kwanini una kipaji kizuri lakini hukitumii? Nimekuwa na ndoto ya kujifunza Gita lakini sijafanikiwa
Mkuu mi ni direction tuu..Mdogo wangu umeikalia hela upo busy unakimbiza mishangazi. Fungua hata page Instagram au twitter uonekane na media maana kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa content
Au katusaidie kuandika story na script bongo movie 😁
Mkuu mi ni direction tuu..Mdogo wangu umeikalia hela upo busy unakimbiza mishangazi. Fungua hata page Instagram au twitter uonekane na media maana kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa content
Au katusaidie kuandika story na script bongo movie 😁
Nilikuwa kama wewe, sitoongea mengi ila jifunze kumiliki greatness yako.Mkuu mi ni direction tuu..
Kuhusu kuandika script naandika mara moja moja mkuu.....
Likija suala la kusema why nipo bize mkuu kuna watu nahsi tumeumbwa kuwa ma ghost tuu...
Hata nyumbani kule likitokea tukio lolote la harusi au ishu yoyote an huwa ndio msimamizi ambaye nina influence kubwa sna lakini uwezi niona kwenye matukio muhimu mi ni kuhakikisha jambo lipo oky...
Hii ilianzia chuo hukoo naweza fanya kazi kubwa ambayo tumepewa watu kumi kumi.. baada ya hapo mimi nita devide kila kipengele aonekane kafnya mtu fulan alafu mi mwenyewe nakua mwisho mwisho Huku kabisa..
Hvo nishazoea siwezi toka nje ya hii limit