Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Mar 16, 2026 #1 Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos. Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe. Kuanzisha: ......? Benchi: ......? Kuuza: .......? Kevin De Bruyne Luka Modrić Toni Kroos Wewe ungefanya maamuzi gani kati ya hawa watatu? Ungeanza nani, nani angekaa benchi na nani ungeuza?
Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos. Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe. Kuanzisha: ......? Benchi: ......? Kuuza: .......? Kevin De Bruyne Luka Modrić Toni Kroos Wewe ungefanya maamuzi gani kati ya hawa watatu? Ungeanza nani, nani angekaa benchi na nani ungeuza?
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,358 Mar 16, 2026 #2 Anaanza Modrić, Benchi De Bruyne For sale Kroos
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Mar 16, 2026 #3 Modrick namba 6 Ton Kroose namba 8 De brune namba 10 Hivo naanza nao. Wote
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Mar 16, 2026 #4 Naanza na wote ila natumia mfumo wa 4 3 3 au 4-2-3-1 .
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,307 Reaction score 31,727 Mar 16, 2026 #5 Naanza na Benjamin Netanyahu
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Mar 17, 2026 #6 Hapo unaanza na wote mzee. Kroose ni 6. Modric 8 De bruyne 10